Madaraka ya Kulevya: Kundi la Weusi wamemuimba nani?

Attachments

  • weusi%2Bmaraka%2Bya%2Bkulevya.jpg
    weusi%2Bmaraka%2Bya%2Bkulevya.jpg
    6.2 KB · Views: 39
Kuna watu kwenye hili jukwaa mpo kimya sana...Kama mnafikiri mna freedom ya kukaa kimya, Be careful, nasema watch it, not to that extent.
 
Safi sana
Atatuelewa tu
Natamani ningejua kuimba niachie ya kwangu na mimi
 
Kuna watu kwenye hili jukwaa mpo kimya sana...Kama mnafikiri mna freedom ya kukaa kimya, Be careful, nasema watch it, not to that extent.
 
Wagosi wa kaya nao wameachia ngomaa yao inaitwaa "DEREVA"wanaulizaa waliomkabidhi huyu derevaa gari waliakikishaa ana lesenii ...
 

Mi nawashangaa sana hawa jamaa bhana.....WAMEINGIWA HOFU GHAFLA...Eti nyimbo YETU isitafsiriwe vibaya...ha haaahaaa!!!......WEUSI UTETEZI WENU UMESHACHELEWA BHANA....HADHIRA YENU IMEAMUA HIVYO, Kwani nyie mliwatungia akina nani???........ Nafahamu fika kuwa Utunzi wa kazi yoyote ya fasihi hubaki kuwa milki halali ya msanii husika.....Lakiiiiniii, kamwe huwezi kuipangia hadhira namna ya kutafsiri maudhui ya kazi yako......Kila mmoja atatafsiri kadri ya uelewa wake kulingana na mazingira yanayomzunguka!! NAOMBA NIRUDIE TENA KUSEMA KWAMBAAAA, MSANII ATAENDELEA KUBAKI KUWA MMLIKI HALALI WA WIMBO AU KAZI YAKE ALIYOIBUNI....LKN ITAKUWA NI JAMBO LA AJABU KABISA KAMA ATAILAZIMISHA JAMII YOTE IMUELEWE KWA NAMNA MOJA. Kwa kuwa mmeamua kutuletea zawadi kama hii ktk kipindi kigumu namna hii, basi tuacheni watanzania tuupe wimbo huu tafsiri tunayoona kuwa inafaa na inayoendana na sisi ili pia tuendelee ku-enjoy coz hiyo ndio kazi yetu sisi kama mashabiki wenu. FANANI WA KWELI HUTUPA JIWE GIZANI ILI LIMPATE ANAYEJISHUKU. [HASHTAG]#Madarakayakulevya[/HASHTAG]
 
Wakuu kuna wimbo mpya wa Kundi la Joh Makini na G.Nako unaitwa Madaraka ya Kulevya. Wimbo huo una mistari inayofikirisha sana.

Baadhi ya Mistari ya Track hivyo
1.Umenipa madaraka ya Kulevya
2.Napendaga makiki kama msanii
3.Napenda makamera na ma-like
4.Napenda attention

Updates
Nimebaini wimbo huu kaimbwa Mkuu wa Mkoa


mikoa iko mingi,mkoa gani?
 
Back
Top Bottom