Hii biashara ina ushetani mwingi sana, kuna dem alikuwa mzuri sana nikampa laki 7 kama mtaji aachane nw hiyo biashara, saa ngapi aitumie ile hela, tangu siku hiyo hawa watu sijawahi kuwaonea huruma hata siku moja
Mzee ukiona watu wanaikataa ndoa usianze kusema sijui account nyingi, ndoa ilikuwa zamani tu lakini kwa life style ya sasa ndoa ni aina mpya ya utumwa, asilimia kama 80 ya ndoa za kisasa hazina furaha. Nasisitiza kataa ndoa ni utumwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.