Kwanini wanawake wamekuwa wakatili hivi?

Kwanini wanawake wamekuwa wakatili hivi?

Kuna wakati fulani mwanamke alipitia manyanyaso na uonevu mkubwa sana kutoka kwa mwanaume na jamii kwa ujumla.
Lakini walivumilia hakuna sehemu walipokuwa wanapeleka kilio chao mpaka nuru ilipowazukia kibao kimegeukia upande wapili kilio kinasikika kila kona.
Wanawake wazidi
 
Unakosea ukisema kila kona. Mbona kwangu na kwa jamii yangu hakijasikika hicho kilio na yeyote?
 
Achana na wanawake mkuu wana kuwa empowered kila angle ya maisha. Hasa na serikali zetu hizi... Imagine

When a Man pays his bills it's normal.
But when a woman pays her bills she is Queen of the jungle, Super woman, Boss lady, independent woman,strong woman,Rich woman, self love, single lady, Akinipenda mama inatosha....[emoji23][emoji23][emoji23]

Yani hizo Tambo atakazo jisifia ni zaidi ya mandonga...

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 basi baba we nae King
 
Back
Top Bottom