Recent content by driller

  1. driller

    NYUMBA INAUZWA: mawasiliano 0624-078174 (Mr. Martin)

    45m.. maongezi yapo mkuu
  2. driller

    NYUMBA INAUZWA: mawasiliano 0624-078174 (Mr. Martin)

    Nyumba ina vyumba vitatu,master rooms 2,single room1,public toilet ,siting room na dining room.ukubwa ni 20x30miters. Nyumba ipo kange mtaa wa mkurumuzi Tanga. Bei million45 maongezi yapo.
  3. driller

    Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    Siku moja huko nyuma nilikua naendesha gari moja ya kijerumani.. dah nikaamua nijaribu kuzifikisha speed zile za ukweli..! Zile 200+.. kwa bahati mbaya sana kwenye kona flani hivi nikiwa kwenye site yangu.. nikaona ghafla watu kama saba hivi wapo pembeni yangu upande wa kushoto..! Walikua jamaa...
  4. driller

    Ni kosa gani ambalo utalijutia maisha yako yote?

    Dah.... nikikumbuka niliyoyafanya...[emoji24][emoji24][emoji24]
  5. driller

    Hili tunda linaitwaje?

    Fyoksi
  6. driller

    Mufindi chukueni hiyo

    Uko hakuna bump nini..!? Maana uyo maza aliekalia ndoo apo nyuma ngoma ikiingia kwa bump anaeza kurushwa na kutoshkilia ilo bomba vizuri mziki wake unakua pale mlango unaporudi.. woouuuuwi
  7. driller

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Asee hivi walimu wote wangekua hivi na kueajenga watoto tangu wakiwa chekechea.. wakakua wakiwa na walimu design hii unadhani ayo ya namna iyo tunayoyaona yangetokea..!? Big up sana mkubwa.. you deserve kuitwa MWALIMU MWEMA.... na Mungu ndio anawalipa walimu kama nyie...
  8. driller

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Ukimpa vitasa ndio tusi linafutika au..!?
  9. driller

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Wewe zimo kweli..!? Au ni jipu..!? So unaonea wivu passo ya baba ake..!? Kwani unakuta darasa zima liko ivyo unavyosema..!? Na hivi hakuna adhabu nyingine ndio iyo tu..!? Kwa uzoefu wangu walimu wote waliokua wanasifika kwa kugawa adhabu za namna hii shuleni walikuaga na hali ngumu sana za...
  10. driller

    Mliopitia magumu katika familia za kufikia, mlihimili vipi mateso mpaka kufikia mafanikio?

    Ndugu nikuambie tu.. UNA ROHO YA PEKE YAKO.. yani unasema walikulaza nje ukiwa umefungwa KAMBA.. kama mwizi...!? Na bado wanakuja unaonana nao..!? Kaka Mungu akuzidishie...
  11. driller

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Na hivi mbona kuna walimu wengine wamesimama na hawagawi kipigo icho.. hadi wengine wanasema muacheni.. au hao ndio hawaoni magnitude ya kosa..!?
  12. driller

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Bro.. tuseme huyo ni mwanao... wewe ni mzazi.. unakutwa anapigwa ivyo.. wewe utashangilia ..!?
  13. driller

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Halali kwa upande upi..!? Kuna adhabu ya namna hii kwa mwanafunzi kaka..!? Hata kama kaua..! Si mumpeleke kwenye vyombo vya sheria..!? Kuna Juvie mkuu.. au kama kawashida mumfukuze tu..! Ili asiwape hasira..! Kuadhibu mtoto wakati uko na hasira namna hii sio sahihi hata kidogo..! Kama angekua...
  14. driller

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Utajiskiaje kama huyu ni mwanao na wewe ndio mzazi unakuta wanamtendea huu ukatili..!?
  15. driller

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Hivi hawa waalimu wanaruhusiwa kufanya haya..!?
Back
Top Bottom