Bei gani?Nyumba ina vyumba vitatu,master rooms 2,single room1,public toilet ,siting room na dining room.ukubwa ni 20x30miters. Nyumba ipo kange mtaa wa mkurumuzi Tanga. Bei million45 maongezi yapo.
Aiseeeee hata nusu hujafikaChukua 10m