Kikubwa unapokuja huku, kama una uhakika wa kupata visa...Hakikisha either unakuja na hela itakayokusaidia ku-survive kipindi unatafuta kazi au uwe na mtu ambae atakuhudumia.
Vinginevyo usiogope,fuata ndoto zako....competition hiyo ni tahadhari coz hata unapoenda vitani unapaswa kujua unaenda...
Ila mentality ya kusema kwamba kwenda kupambana nchi nyingine ni kukimbia tatizo si sawa,hiyo ni namna nyingine ya kucheza mchezo.Na cha muhimu ni kwamba utapambana miaka kadhaa nje then utarudi nyumbani na capital, business ideas , exposures na mengine. Watu ambao walishawahi kuishi nje ya nchi...
Uwezekano wa kupata kazi ya professional ni ngumu, labda uwe unakijua vizuri Kikorea. Ila kazi casual ndo zipo available kwa wengi. Ila shida ni competition kwa sasa.
Mkuu Karibu sana Korea. Ni kweli earning ni kubwa na kazi zipo. Ila kwa sasa hali siyo nzuri, foreigners wanazidi kuingia na competition imekuwa kubwa mno. Mfano, kuna jamaa alimaliza masomo juzi kati,akaanza kutafuta kazi ya kupiga kwa miezi mitatu hajapata. Si kwamba kazi hazipo,zipo. Ila...
Habari wadau. Heshima kwenu.
Asanteni kwa kuchangia uzi wangu na kunishauri.
Naomba kutoa mrejesho.
Ukweli ni kwamba huyo niliyekuwa namchukulia kama mchumba wangu kipindi tunaanza mahusiano aliniambia yeye ni single, tena single wa muda mrefu. Kumbe alikuwa na mtu wake ambae wapo nae kwa muda...
Pole. Fuatilia uzi vizuri....nme-save hiyo no "mpuuzi" katika harakati za kuangalia hiyo no whatsap ndo maana kuna herufi "M"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau asanteni kwa comments zenu.
Kuhusiana na level ya uchumba wetu ni kwamba,kuna ndugu wachache wanafahamu kuw tupo wote, na nmekuwa na ujasiri kumuita mchumba kwa sababu wote tuna lengo moja la kuoana siku zijazo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana kwa ushauri wako. Huyo mwanamke alichukua no za muhusika na adai huyo muhun anamtukana, anadai mimi nmemtelekeza huyo anaedai ni mpenzi wangu baada ya kumpa mimba.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.