Inaonesha kuna shida sehemu Fulani na sitaki kuamini kuwa mamia haya yote ya watu walioitwa walifanikiwa kucertify vyeti.Mimi nilimsaidia mtu kufanya application na nilihakikisha mimi mwenyewe kuwa nimecertify kwa wakili copies zote na nikaaply mimi mwenyewe eti leo inaonesha kuwa hakucertify vyeti. Nadhani kuna kitu hakipo sawa
Wamejitahidi sana kupunguza nyomi kwa kuchagua mtu mmoja nafasi moja,miaka ya nyuma ungekuta tax management officer tu ina watu elfu 9 au 10,saiv naona ina watu around 3500.Inaonesha kuna shida sehemu Fulani na sitaki kuamini kuwa mamia haya yote ya watu walioitwa walifanikiwa kucertify vyeti.
Ni wengi sana tumekosa eh kua shortlisted[emoji16]Wamejitahidi sana kupunguza nyomi kwa kuchagua mtu mmoja nafasi moja,miaka ya nyuma ungekuta tax management officer tu ina watu elfu 9 au 10,saiv naona ina watu around 3500.
Umejuaje kama walioitwa ni wachache hivyo?Wamejitahidi sana kupunguza nyomi kwa kuchagua mtu mmoja nafasi moja,miaka ya nyuma ungekuta tax management officer tu ina watu elfu 9 au 10,saiv naona ina watu around 3500.
Mkeka umetoka jioni hiiUmejuaje kama walioitwa ni wachache hivyo?
Wametoa pdf ya majina ya walioitwa.Umejuaje kama walioitwa ni wachache hivyo?
Yani pamoja na hayo iyo cutoff this time ni ya hatari wasingefanya hivyo tungekua 15,000Nyie mnaosema wachache Ile nyomi yote mlikuwa mnataka wangapi ili wawe wengi..?
Itume humu mkuu maana sijaiona binafsi.Wametoa pdf ya majina ya walioitwa.
Si kweli, usipotoshe umma. Hakuna ajira za design hizo enzi hizi. Kama mtu hujachaguliwa jua huqualify. Kumbuka watu wasio na ajira ni malaki hamuwezi wote kufanya jazi TRA. So ikitokea bahati mbaya hujakidhi vigezo jua kuna ambao wamekidhi.Walishaajiri watu kitamboo sana wamekaa maofisini wanakula batala [emoji41][emoji41][emoji41]
Maana interview za sasa hazitabiriki mazeekama kuna mwenye maswali ya Tax managent officer tupeane hapa
Nimekucheck mkuu nami wamenitupia huko japo niliomba sehemu 2 Ila nimeappear hapo tuWatu tuliochaguliwa Tax Management Assistant nicheki tuanzishe group tushare material
Nipo hapaaWatu tuliochaguliwa Tax Management Assistant nicheki tuanzishe group tushare material
Kada gani?Kwakweli mie nimeitwa kwenye usahili, saivi ni muda wa kula msuli wa nguvu ili nitoboe. Maana si kwa nyomi hilo