EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,701
Akiweka hata ya VERO NITAGWeka number yake kwanza za wote wawili halafu nitoe ushauri ndugu
Akiweka hata ya VERO NITAGWeka number yake kwanza za wote wawili halafu nitoe ushauri ndugu
Nimemsave kama mpuuz nilipokuwa namuangalia whatsap...ndo maana inaonekana MHiyo M hapo kwenye convo ni initial ya jina au?
MIWIVU YA KITOTOAisee, mimi nikikufuma na meseji ya mahaba ndio itakuwa mwisho wetu umesikia babu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona povuMIWIVU YA KITOTO
MWANAUME WAKO ANAKAAJE NA SMS YA MAPENZI, HUJIULIZI NA KUTAFUTA SULUHISHO? SI ANASOMA NA KUFUTA KAMA ANA NIA YA KUFICHA UCHAFU WAKE?
NYIE NDO VICHWA MAJI ISHU NDOGO UNANUNA WIKI NZIMA.
MNAHAMA WAPENZI KAMA KUBADILISHA DALADALA MNAISHIA KUTUMIKA KAMA VYOO VYA STENDI
UMENIKERA SANA ULIPOSEMA UKIONA TXT TU UNASEPA? ZINGINE ZINAKOSEA NJIA KAMA YA HUYO JAMAA
Asante kaka...This is strong adviceAta mm naisi ivyo maana mpenzi wako akute sms kama iyo alafu akimbilie kuondoka tu bila kuupata ukweli kwako na mlikuwa mko kwenye uchumba kwanini asingengoja uyo mwanamke apokee au akuulize kwa kina mm kuna vitu vingine kama sijafanya alafu nakueleza kwa kina huelewi bc sawa fanya lililosahihi kwako maana mtu akupendaye atakasirika lakini hata kuachia kirahisi muachane.
Chukulia kawaida kma uliongea na mpenzi wako na hataki kukuelewa just chill take pose anayekupenda atarudi kwako kutaka kujua ukweli ila unaangaika kumpigia sm kila mda hadi anahisi ulifanya kweli.
Alafu don't be fucken kujiaminisha kuwa mpenzi wako anakupenda semea moyo wako kuwa unampenda sana eti anakupenda ww uko moyoni mwake kama anaigiza kwako sababu anapata kitu kwako fucker
Sent using Jamii Forums mobile app
UMENIKERA SANA ULIPOSEMA UKIONA TXT TU UNASEPA? ZINGINE ZINAKOSEA NJIA KAMA YA HUYO JAMAA
Anamuachaje wakati kudanganywa mmezoea unapigwa kiswaili hadi unaelewa na unaileta mwenyewe alafu mwanamke akiniacha mm naona ni jambo zuri maana hunililii wala sioni machozi yako kwaiyo nitaishi kwa AMANI kuliko mm nikuache uanze kunililia na kuomba msamaha hadi naona hurumaAisee, mimi nikikufuma na meseji ya mahaba ndio itakuwa mwisho wetu umesikia babu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewaza the same, usijiumize sana inawezekana mtu wako alishapanga kukuacha ila hana ground ya kufanya hivyo akaamua kufanya umafya aidha na rafiki yake wa kike,, au hata mwanaume wake mpya anayependa kuendeleza naye urafiki..
Inauma sana maana lijamaa litakuwa kishaanza kumtafuna...
Kama kweli angekuwa anakupenda kutoka moyoni hawezi kukuacha kirahisi hivyo lazima angekuhoji, angechukua namba ya huyo mdada amtafute ajue ukweli,, asingekurupuka na kuondoka.
Hilo dili mwana acha kuumiza sana akili. Najua inauma ukiachwa bila kutarajia,, kisaikolojia inaumiza sana,,
Fanya yafuatayo
1. Kwanza jiulize kabla yake mbona ulikuwa unaishi vizuri tu,, hata sasa utaishi vizuri tu kwanza kakuondolea mikosi
2. Piga maombi kwa sana,, mshukuru Mungu kakuondolea huyo yumkini huko mbele angekuja kukuletea madhara.
3. Kama unamtafuta na haangaiki na wewe mwandikie mesage ya kumuaga kabisa ajue umetoa moyoni mwako maana hakuwa na mapenzi ya dhati kwako..
4. Mwana tafuta hela..., piga maombi kwa sana
5. Tafuta hela mwana..., usimwache Mungu piga maombi,
6. Nasema hivii piga hela ndefu....usisahau sala
7. Tafuta hela..., ibada kwa sana
8. Achana na mademu uchwara tafuta hela, maombi kwa sana
9. Tafuta helaaaa, mtafute Mungu
10.Utaishi kwa raha sana.
Barikiwa Sana KiongoziNimewaza the same, usijiumize sana inawezekana mtu wako alishapanga kukuacha ila hana ground ya kufanya hivyo akaamua kufanya umafya aidha na rafiki yake wa kike,, au hata mwanaume wake mpya anayependa kuendeleza naye urafiki..
Inauma sana maana lijamaa litakuwa kishaanza kumtafuna...
Kama kweli angekuwa anakupenda kutoka moyoni hawezi kukuacha kirahisi hivyo lazima angekuhoji, angechukua namba ya huyo mdada amtafute ajue ukweli,, asingekurupuka na kuondoka.
Hilo dili mwana acha kuumiza sana akili. Najua inauma ukiachwa bila kutarajia,, kisaikolojia inaumiza sana,,
Fanya yafuatayo
1. Kwanza jiulize kabla yake mbona ulikuwa unaishi vizuri tu,, hata sasa utaishi vizuri tu kwanza kakuondolea mikosi
2. Piga maombi kwa sana,, mshukuru Mungu kakuondolea huyo yumkini huko mbele angekuja kukuletea madhara.
3. Kama unamtafuta na haangaiki na wewe mwandikie mesage ya kumuaga kabisa ajue umetoa moyoni mwako maana hakuwa na mapenzi ya dhati kwako..
4. Mwana tafuta hela..., piga maombi kwa sana
5. Tafuta hela mwana..., usimwache Mungu piga maombi,
6. Nasema hivii piga hela ndefu....usisahau sala
7. Tafuta hela..., ibada kwa sana
8. Achana na mademu uchwara tafuta hela, maombi kwa sana
9. Tafuta helaaaa, mtafute Mungu
10.Utaishi kwa raha sana.
Nashangaa baadhi ya watu, walitegemea mdada aendelee kumkumbatia hapo akisubiri utetezi wake. Me mwenyewe ningeondoka kwanza, angekuja kunitafuta siku nyingine akili zangu zikiwa zimeshatulia. Watu wanachukulia "trust" kama kitu kidogo, while ni kitu cha msingi sana. Kukiwa na dalili za kuvunjika kwa trust mtu hawezi kukuchekea tenaKama ni hivyo atakusamehe mkuu ni reaction ya kawaida, ulitegemea aendelee kukukumbatia baada ya kitu kama hicho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Babe, kuku hajawahi kufa kwa utitiri...tehteehhAisee, mimi nikikufuma na meseji ya mahaba ndio itakuwa mwisho wetu umesikia babu?
Sent using Jamii Forums mobile app

In a psychological point of view.. Hapa umeongea kinyume hasa.. Wewr ndiye. unampenda hoi hoi ila yeye moyo wake huujui (kichaka).. I know how you feel yalishawahi kunikuta kwenye mapito ya ujana.. Kila atakayekushauri usivyotaka/kuachana utamuona katili, adui na mtu mbaya..Asante kwa kuchangia. Inawezekana, lakini huyo mwanamke ananipenda sana...na ananihitaji sana katika maisha yake,ila kibinadamu ameshindwa kuhimili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka number yake kwanza za wote wawili halafu nitoe ushauri ndugu