Mkuu unajua ukijua huyo anayemlilia yupo level gani kimahusiano ndipo unapoweza toa ushauri wa kuponya ila usipojua hutaweza kutoa suluhisho timilifu. Kwa hiyo ushauri wa mgogoro wa Kimapenzi siyo sawa na Ushauri wa watu ambao wako level ya Uchumba.Mkuu, sioni sababu ya kumuuliza maswali mengi mleta mada.
Hapa kwa jinsi alivyo elekeza, hai hitaji hata shule kubwa ili kubaini kinacho jiri kwenye mawazo ya mchumba wa mleta mada.
Naaa...... jf tujifunze kuheshimu mawazo ya yeyote mleta mada, hii hutokana na wakati mwingine mwenye threads hajisikii kuanika baadhi ya mambo zake kwa undani.
Nivyema tumshauri kwa kiwango cha maelekezo alio yatoa mleta mada, na kwaku mchimba nadhani ni kutaka kuingilia yale ambayo mleta mada hakupendi tuyafahamu.
Una hoja nzuri sana mkuu, lakini kwa jinsi nilivyo soma hoja za mleta mada..... naona ushauri wako kwake upo kwenye level ya juu kuliko kile anacho tamani kuiskia mleta mada.Mkuu unajua ukijua huyo anayemlilia yupo level gani kimahusiano ndipo unapoweza toa ushauri wa kuponya ila usipojua hutaweza kutoa suluhisho timilifu. Kwa hiyo ushauri wa mgogoro wa Kimapenzi siyo sawa na Ushauri wa watu ambao wako level ya Uchumba.
Siyo kila Mwanamke mnayeshiriki naye kumalizana hamu ya Kingono kumpa hadhi ya kuitwa Mchumba. Mchumba tayari huyo ni Mke lakini huyo wa level nyingine mnakuwa kwenye volatile relationship muda wowote mahusino yanaweza sitishwa na pande mbili bila kuathiri pande yoyote ya Familia.
Bado namsubiria anijibu majibu yangu ndipo nitampa dawa ya tatizo lake.
Hahahahndio majini yanatumia smat siku hizi kuna mdau alipost juzi kati jini limemtumia hela na linachat nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi bado nipo palepale kwa kujua level ya Mahusiano yao. Kumbuka amemtambulisha kwetu kama Mchumba, hakumtambulisha kwetu kwa love intensity level aliyonayo. Kumpenda mtu sana siyo indication ya kumuita Mchumba ilihali hakuna ndugu wa kibailojia pande zote mbili anayemtambuwa.Una hoja nzuri sana mkuu, lakini kwa jinsi nilivyo soma hoja za mleta mada..... naona ushauri wako kwake upo kwenye level ya juu kuliko kile anacho tamani kuiskia mleta mada.
Kama ukiweza kumuelewa zaidi mleta mada, utagundua kwamba amezidiwa na upendo alio mpa huyo anae muita mchumba wake. Na ukimsoma vizuri zaidi utagundua kwamba anaonekana alimpenda sana binti, na sasa anaumizwa na hisia na sio uchumba kama anavyo sema yeye
Na ndo nilichokua nawaza pia jamaa kachezewa mchezoHapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mimi nimewaza hivi. Yaani copy thinking kabisa. A coincidence.Hapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke wako hakuwa serious naww why achukue uamz kama huo ilihali anaona no yenyewe hukuwa umeisave pia alitakiwa kuwa na maamuz ya busara had kufkia suluhu, mwanamke mpumbav huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe(ila samahan kama nitakuwa nimetumia lugha mbaya)Wadau, Mimi ni mwanaume....kuna tatizo limenikumba na kuharibu uchumba wangu. Nilikuwa na mchumba wangu nyumbani kwangu,mida ya saa 5 usiku. Kabla hatujalala tukiwa wote,wakati huo nilikuwa niki-set alarm huku mchumba wangu akiiangalia simu yangu,ghafla iliingia sms ya mahaba mazito kutoka kwa mtu nisiyemfahamu.....kulingana na sms hiyo alidai kuwa amemisi penzi langu sana na angetamani tuonane,hivyo nimfuate au kama nipo bize aje yeye..Kiukweli nilichanganyikiwa na mwanamke wangu alishindwa kunielewa. Nkampigia simu hakupokea, akadai yupo kwenye makelele akitoka atanipigia. Nkamuuliza wewe ni nani ....akadai yeye ni Vero mpenzi wangu. Wakati mimi sijawahi kuwa na mpenzi wala mtu wa karibu au ambae nina mazoea nae tu,anaeitwa Vero. Nilipoendelea kupiga simu yake hakupokea akadai atanipigia soon..... Mwanamke wangu alishindwa kunielewa na akaondoka usiku ule. Alipoondoka nilimtafuta huyo muhuni lakin hakupokea simu,akidai yupo kwenye sherehe ....akitoka atanitafuta,lakini mpaka napaandika uzi huu sijapokea simu yake na mara nyingi hapatikani.
Wadau naomba mnisaidie nitamfahamu vipi huyu mtu ambae lengo lake ni kuniharibia mambo yangu.
Naambatisha na "conversation" tulofanya na huyo muhuni.View attachment 1002396
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole. Fuatilia uzi vizuri....nme-save hiyo no "mpuuzi" katika harakati za kuangalia hiyo no whatsap ndo maana kuna herufi "M"Unatuchezea akili.. Namba inaonekana umei-save na alfabeti ya kwanza ni M ama ni challenge
Sent using Jamii Forums mobile app


uko sawa mkuuHapo inawezekana ni dili amecheza huyo mchumba wako alitaka akuache akakosa njia sahihi basi akampanga rafiki yake ili atume hiyo meseji ukiwa na mchumba wako
Sent using Jamii Forums mobile app
Sms zilipoingia simu ilikuwa wapi? Umeshika wewe au mchumba au ipo pekee yake? Kama pekee yake nani alianza kuishika mliposikia msg zimeingia? Kama ni wewe uliposhangaa hiyo msg ndiyo mchumba kaanza kuondoka? Na kama ni mchumba ni kawaida yake kupokea simu/sms zako Mara tu zikiingia? Kwa hayo maswali ukipata majibu unaweza kuelewa mchezo ulipoanzia?Kaka si sms moja....Ni conversation kabisa....kuna attachment nimetuma,tafadhali pitia,utaelewa
Sent using Jamii Forums mobile app