Recent content by Dr leader

  1. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Naomba Kujua Bei Ya Mahindi Hapo Mkoani Kwako

    Mkitaja bei tuone na location tuone kama tunaweza fanya biashara
  2. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Fanya haya miezi 6 iliyobakia ili kukua kiuchumi

    Ya kupokea sadaka
  3. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Fanya haya miezi 6 iliyobakia ili kukua kiuchumi

    unateseka
  4. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Fanya haya miezi 6 iliyobakia ili kukua kiuchumi

    Mambo ya kufanya miezi 6 iliyobakia ili kufikia malengo yako • Chukua uwajibikaji wa 100% juu ya maisha yako. Acha kabisa kujitetea na kulalamika. • Tumia muda ukiwa peke yako, soma, andika na jione ukitimiza ndoto zako. • Kata mahusiano yote yenye sumu na yanayokuvuta nyuma. • Fanya amani...
  5. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Energy & Frequency

    Watu wengi huchanganya, FREQUENCY NA ENERGY Ngoja nikueleze hapa kwa lugha rahisi : Energy ni nguvu. Kila kitu duniani kina energy. Mwili wako una energy. Maneno yana energy. Mawazo yana energy. Hata sehemu unazotembelea inaweza kuwa na energy nzuri au mbaya. Ndiyo maana: Kuna watu ukikaa...
  6. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wanawake: Kama mwanaume hakutendei vizuri, mwingine atakutendea vizuri

    USHAURI KWA WANAWAKE • “Kama mwanaume hakutendei vizuri, mwingine atakutendea vizuri.” • “Akikusaliti, si kosa lako hata kidogo.” • Hivyo ndivyo mwanaume huonyesha upendo wake; amini zaidi matendo yake kuliko maneno yake. • Wanaume wengi si waongeaji sana kuhusu hisia; huonyesha...
  7. Dr leader

    JamiiForums Tanzania UKOMAVU NI NINI?

    UKOMAVU NI MTAZAMO WA AKILI, SI UMRI. HIZI HAPA DALILI ZA MTU ALIYEKOMAA! • Haogopi kuwa peke yake. • Anatambua kuwa pesa siyo mbaya, ubaya ni kukosa pesa. • Anajua kuwa Nafsi inaweza kuwa adui yako mkubwa au msaidizi wako mkubwa. • Anagundua maisha huwa mazuri zaidi pale watu wasipojua...
  8. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Mizigo yako unampa nani?

    MZIGO MZITO UNAMPA MPAGAZI, JE WA NDANI UNAMPA NANI? mzigo mzito mpe Mnyamwezi, Kwa sababu ana uwezo wa nguvu za mwili. Mzigo wa akili hakuna wa kukubebea Na huo ndio mzigo unaochosha kuliko anaoubeba Mnyamwezi. Huu hauonekani… lakini unakula nguvu kila sekunde. Chuki. Maumivu ya...
  9. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Shairi: Walimwengu ndio wabaya

    Walimwengu ndo wabaya Jama nipo mahututi, tena ndani icuu Mekurubia mauti, nahema kwa juu juu Siwezi swali kunuti, Mola anipe nafuu Dunia haina baya, walimwengu ndo wabaya Wamenipiga ulozi, ule wa chuo kikuu Kwa uchanga kimalezi, sijafikia wakuu Nipo mbali na wazazi, kwa mamita elfuu Dunia...
  10. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    uko location gani tukushauri
  11. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Usifanye haya mbele ya Maji

    Nimebandika pia Facebook
  12. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Usifanye haya mbele ya Maji

    Muhimu yawe maji ambayo hayajabadilika jina kama bia au chai
Back
Top Bottom