Recent content by Dr Emma John

  1. D

    Gambo, kama ni mkusanyiko usio halali mbona wafiwa umewaacha?

    Acha kupangia watu namna ya kuishi wewe!!
  2. D

    Mzee Benjamin Mkapa avichana Vyombo vya Habari Afrika

    Huyu nae ni dikteta uchwaraaaaa.
  3. D

    Kwa hili Rais anastahili pongezi,Si jambo jepesi hata..

    Mi ngoja nasubiri alituahidi.
  4. D

    Update live:Liverpool vs Leicester city,

    Siku Nyingine Usiwe Una Kariri Peke Yake!!
  5. D

    Update live:Liverpool vs Leicester city,

    Siku Nyingine Kumbuka Kuweka Akiba Ya Maneno Mkuu,otherwise Utakuwa Wa Kuumbuka Tu!!
  6. D

    Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

    Hivi Huyu Jerry Ndiyo Yule Alikuwa TBC 1 Akifanya Vyema Ktk Taarifa Za Uchunguzi Kabla Ya Kukutana Na Kisanga Cha Rushwa?. Aise Yanga Toeni Huyu Mtu Hafai Na Wala Msisubiri Tena TFF Iwasaidie Kutoa Adhabu.
  7. D

    Gia ya angani ilivyowavuruga kina Cheyo, Mrema, Shibuda akasalimika Zitto

    Ndiyo Hayupo.Alishika Nafasi Ya Nne Kwenye Uchaguzi Jimboni Kwake Itilima,nyuma Ya Njalu Silanga Wa CCM,Martine Na Martine Mwingine,wote Toka UKAWA.
  8. D

    Naomba nimsahihishe Joshua Nassary (mb), mimi nitapinga vingi sana!

    Hizo Trioni Zinamsaidiaje Mtz,iwapo Kabla Ya JPM Kuapishwa Kilo Ya Nyama Ilikuwa Tsh 5 000 Na Leo Ni Tsh 7 000 Huku Kwetu!?. Yaani Ny4e Ndio Walewale Mnaokaririshwa Eti Uchumi Unapanda Wakati Huohuo Maisha Yanazidi Kuwa Magumu Kwa Mfumuko Wa Bei.Mkilalamika Mnaletewa Igizo La Kufutwa Kazi...
  9. D

    Naomba nimsahihishe Joshua Nassary (mb), mimi nitapinga vingi sana!

    Hizo Trioni Zinamsaidiaje Mtz,iwapo Kabla Ya JPM Kuapishwa Kilo Ya Nyama Ilikuwa Tsh 5 000 Na Leo Ni Tsh 7 000 Huku Kwetu!?.Nyie Ndio Walewale Mnaokaririshwa Eti Uchumi Unapanda Wakati Huohuo Maisha Yanazidi Kuwa Magumu Kwa Mfumuko Wa Bei.Mkilalamika Mnaletewa Igizo La Kufutwa Kazi Mkurugenzi Wa...
  10. D

    Pongezi kwako Ummy mwalimu

    Hutu Tu Thread Twa Kuanzishwa Usiku Wa Manane Wakati Mods Wamelala Tunajaza Server Tu.Ana Rekodi Gani Huyo Mama!?.Upuuzi Mtupu!!.
  11. D

    Huyu Suleiman Kova ni Makamu wa IGP au ndio msemaji mkuu wa Jeshi?

    Hivi Ndiyo Huyu Huyu Zamani Aliitwa Advera Senso? If Yes,Why Now Aitwe Advera Bulimba?
  12. D

    Hongera Masauni , umeshinda fitna ya umri UVCCM .

    Pumuzi Ya JPM Iko Karibu Kuisha. Hapo Ndipo Tutaona Kumbe JK Alikuwa Poa. Hamad Masauni Hakupaswa Kabisa Kupewa Nafasi Nyeti Kama Hii.
  13. D

    Ukweli wa kifo cha Deo Filikunjombe

    Mkuu Unataka Utafuniwe Kila Kitu As If Wewe Siyo Great Thinker? Kuna Wachangiaje Wamekusaidia Kuwa Unganisha Dots Kwa February Maropes,ndio Kijana Anaezungumziwa.
  14. D

    Zanzibar wapata Mawaziri wengi kuliko Bara Wizara nyeti za Muungano, Kwanini?

    Mleta Mada Uandishi Wako Tu Unaonesha Level Yako Ya Elimu Ni Ndogo Sana.Mods Njooni Mtoe Huu Ubaguzi Maana Hakuna Cha Kujadili Hapa!!
  15. D

    CHADEMA yaionya CCM Umeya Dar es Salaam

    Naona Kuna Mkanganyiko Kwenye Hiyo Habari,diwani Wa Ubungo Imejirudia Mara 2. Nijuzeni Huyo Meya Wa Jiji Anatoka Kata Gani Au Ndio Vijiweni Niliyoiona Jana Fesibuku?.
Back
Top Bottom