Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,745
- 239,396
Ile vita ya makundi ndani ya ccm ilisababisha ukang'olewa uenyekiti wa uvccm kwa kisingizio cha eti umegushi umri wako , ukarudi zako unguja ukawaachia jumuiya yao , baada ya miaka kadhaa umeteuliwa kuwa naibu waziri , nakupongeza sana , nimejifunza kwamba kumbe fitna haziwezi kushinda kudra , Hongera tena .