The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,911
- 2,891
Hawa ni wanasiasa waliopata kutikisa siasa za tanzania kwa mda mrefu kwa bahati mbaya ktk uchaguzi huu inaonekana wamekumbwa na mtikisiko wa siasa za ccm na ukawa kutokana na mvutano mkubwa kuwa kati ya ccm na muungano huo waungwana hawa wamejikuta majina yao yanajifuta ktk ulingo wa siasa za Tanzania.
Kwa upande mwingine ujio wa ACT katika siasa zetu ikimhusisha mwanasiasa mashuhuri ndugu zito kabwe pia ulinogesha mjadala na kuufanya zaidi uwe wa pande kuu tatu yaani CCM ukawa ACT nawapa pole sana wazee wangu wasikate tamaa kwani mimi nina amini kua hujafa hujachelewa