Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 4,912
- 3,991
:thumbup:Nianze kwa pongezi kwako waziri mteule wa afya ,naamini utafiti eneo hili kutokana na ulivyo msikivu na usie mtu wa maneno mengi wizara hii ni wizara nyeti nikimaanisha bila wizara hii hali ya wananchi masikini kiafya itakua ni tatizo naomba uje na mipango michache hususani muhimu ukishirikiana na dr kigwangwala
1: pendekezo la kuwapa bima ya afya maalumu kwa makundi ya akina mama, wazee na watoto hii itasaidia kupunguza vifo vya akina mama na watoto
2: kuingilia na kufumuwa ufisadi unaondelea pale NHIF ni moja ya jipu la kutumbua watu wanakula mishahara bure pale bila ya hata kutoa ushauri wa aina yeyote
3: kuendeleza mpango wa kuwa na zahanati kila kata kupunguza vifo hususani akina mama na wazee
Naamin wewe ndie mtu sahihi na muda sahihi kutatua matatizo ya afya ya nchi hii
Cc katibu wizara afya
Cc hamis kigwangala naibu waziri
By gilbert massawe