Update live:Liverpool vs Leicester city,

Kuna nyuzi za hizi club,hakukuwa na haja ya kuanzisha huu uzi. Mpira uwanjani,tusubiri dakika90
 
Duu kwa pale nyuma ktk ukuta wa liver naona matatizo makubwa skirtel na lovren wako nje maana yake wanasimamia Kolo na sakho wote wazito sioni jinsi gani hawa watamzuia mahrez

Halafu linganisha na ukali wa wale akina Vardy na mwenzake Mahrez!!
Mmmmh lazima liver watakula nyingi sana kama sikosei watagongwa 3 bila
 
Back
Top Bottom