Jamani zanziba wamepata wizara nyeti wakati huohuo popln yao ni ndogo ikiwa ni sawa na jimbo la arusha tu au ubungo kwanini magufuri amependelea hivi. Natoa takwimu zifuatazo;
1.Dr. Mwinyi - wizara ya ulinzi
2.Prof. Mbarawa - Ujenzi,mawasiliano na uchukuzi
3.Eng. Hamadi - Mambo ya Ndani,Uhamiaji,Polisi..nk
Wapiga kula Zanziba walikuwa 111,000 (2.5%) tu wakati wapiga kura Tanzania bara walikuwa 14,500,000 (97.5%).Population wise, Tanzania bara ni 44,000,000 (99%) wakati Zanzibar ni 1,500,000 (1%).
Na taarifa nilizozipata bado alitaka kuteua watu wawili lakini uongozi wa visiwani ukaombwa wawaache kwani wanawahitaji kwa maendeleo na programme za Zanzibar.
Je, Rais mbona Zanzibar wawaangalia sana kuliko hata wasukuma wa Shinyanga na Simiyu wanozidi idadi ya Zanzibar?