Nakumbuka ilikua mwaka 2009 nikiwa form Two siku shule moja ya bweni huko Kilimanjaro.Basi ile naenda zangu kuoga nafungua nafu nakuta Rafiki yangu kakamaaa kwa utamu nikashangaa huyu vipi.Alipomaliza ndio kakuta nimefungua mlango namshangaa[emoji1787][emoji1787],Akaniambia ushawah kujaribu hii...
Habati ndugu wanajamvi.Nilikua mpenzi wa hili game enz hizo Likiwa 2015,2016 lakini kwa sasa hv nimeshindwa jinsi nnavoweza kulipata free.Play store linauzwa 19,999 hvyo mtu anaeweza kunielekeza ni jins gani nnavoweza kulipata free anisaidie
Aisee sasa hapo unaomba ushauri wa nini wakat wao washaachana kitambo kirefu sana na sababu haikua ww hio iametokea bahat yako iendee ww endelea kusema sjui vaa viatu vyako mara sjui rafk yalo atajiskiaje uje ukose hata hela ya vocha
Imeibuka kasumba kwa wanaume nao kuiga misemo ambayo kusema kweli inatia ukakasi haiwezekan mwanaume na wewe unatumia neno tyuuu aisee tuangalie baadhi ya maneno sio kila kitu tunaiga binafsi hata mschana anaeniambia tyu hua namrekebisha aache
Hii issue ya costa itatutafuna kma jamaa atarudi maana kwa jinsi alivyokichwa kibovu sjui kama wataweza kukaa na conte chini wakaelewana
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.