La Quica
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 1,335
- 3,140
- Thread starter
- #21
Hapa naona wengi mnanikejeli badala ya kutoa ushauri wa maana. Kiufupi hebu wewe jiweke kwenye nafasi yangu kisha mfikirie msela atajisikiaje akijua? Je mtaendelea kuwa masela?
Au jiweke kwenye nafasi ya msela, ujue kuwa rafiki yako wa karibu kabisa anatafuna yule mpenzi wako wa zamani tena anaemjua kuwa alikuwa shemeji yake.
Pimeni huo mzani ubalance mnishauri wakuu.
Au jiweke kwenye nafasi ya msela, ujue kuwa rafiki yako wa karibu kabisa anatafuna yule mpenzi wako wa zamani tena anaemjua kuwa alikuwa shemeji yake.
Pimeni huo mzani ubalance mnishauri wakuu.