Recent content by DOWN SYNDROME

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tunakupongeza Askofu Shao kwa uzalendo wako, Padri Mapunda, Dr Slaa kuweni na huruma

    Kama dikteta Kikwete na mwenye mawazo yaliyopinda,wangekuwa na huruma wangetekeleza madai ya Madaktari haraka sana kwa manufaa ya wananchi wote ukiwemo wewe gamba la nyoka! Rudia kusoma tena riport ya SIKIKA!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nilidhani Nape ni mjinga, lakini kwa hili la Uwanja wa Taifa mhhhhh!!

    Akili yako inawalakini!
  3. D

    JamiiForums Tanzania M4C leo Tabata Segerea

    Tuko pamoja!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Sina imani tena na Chadema

    Umebwabwaja pumba! Nyambafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  5. D

    JamiiForums Tanzania Garden love. . . . !!

    Hujui lolote nenda kwanza medical school,naamini huu ujinga utaacha.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Garden love. . . . !!

    Hili ni tatizo la kiafya yafaa kuwahurumia na kuwashauri nini cha kufanya badala ya wengine eti kufurahia.Mara nyingi huwa linatokana na medical disorder inayoitwa Polycystic ovarian syndrome(PCOS) ambapo hawa kina mama huwa wanapata matatizo ya ugumba(infertility),matatizo ya hedhi (menstral...
  7. D

    JamiiForums Tanzania CCM imebakiwa na wanachama 2,500,000

    CCM ndo janga la kitaifa,wanachama wote wa ccm ni wahuni na majambazi ya mali za umma!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tulificha siri kuiokoa serikali

    Hakuna msafi hata mmoja ndani ya CCM,hao wote wanaojifanya kuiokoa serikali nao pia ni mafisadi!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nafundisha civics form 2 muungano vipi?

    Historia yenyewe ya muungano imechakachuliwa!
  10. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaendelea kuigalagaza CCM ktk chaguzi ndogo jimbo la Buchosa - Sengerema

    How nice!!!!!!!!!!!!!!
  11. D

    JamiiForums Tanzania ushauri kwa chama cha mapinduzi

    It is too late! Hawawezi tena!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Lissu na Mnyika ndani ya Mlandizi tarehe 10/06/2012

    Hivi makamanda wameshafika Chalinze? Kama hawajafika,bas wafike hadi MSOGA maana wale wananchi wanaishi ktk lindi kubwa la umasikini,ni kama vile hawana mtetezi kabisa! Kwa ujumla wanahitaji ukombozi na utetezi kutoka kwa Makamanda!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr. Slaa kuhusu hoja za ccm Jangwani - CCM mna majibu ya tuhuma hizi??

    CMD ni chama makini sana!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CCM Jangwani: CCM yafa Rasmi

    Wewe jamaa ni muongo sana! Nyie ndio wasaliti wakubwa wa watanzania wote masikini,nenda kafie huko KUZIMU na CCM yako!
  15. D

    JamiiForums Tanzania CCM yamwaga Mamilioni kuivaa CHADEMA; Watu wasombwa kwa malori

    Inasikitisha sana kuona mamilioni ya pesa yanavyotumika hovyo kwa mambo ya kijinga kabisa na huku wagonjwa wakikosa dawa hospitalini na kwenye vituo nya afya! Hakika CCM ni wauaji! Tutawapuuza!
Back
Top Bottom