Garden love. . . . !!

Hili ni tatizo la kiafya yafaa kuwahurumia na kuwashauri nini cha kufanya badala ya wengine eti kufurahia.Mara nyingi huwa linatokana na medical disorder inayoitwa Polycystic ovarian syndrome(PCOS) ambapo hawa kina mama huwa wanapata matatizo ya ugumba(infertility),matatizo ya hedhi (menstral disorders) ambapo mara nyingi hukosa siku zao kwa muda hata zaidi ya miezi sita(AMENORRHEA),na pia wanakuwa na uwezekano mkubwa wa kupata uvimbe kwenye tumbo la uzazi(Fibroids). Wengi wao huwa hawana watoto na ni wanene sana! Matibabu yapo na wakipewa dawa hedhi zao hurudi kama kawaida na wanaweza kupata watoto! NB sio wote huwa na haya matatizo! kwahiyo nashauri waende kwa watalaamu wa magonjwa ya wanawake(gynacologists) kwa matibabu mazuri! For more information,nenda google andika PCOS.

Haya tumepata na ushauri wa kitabibu,mmesikiaaa?Tungeyajuaje haya?
 
DOWN SYNDROME me kwj upande wangu sina tatizo hata 1 kat ya ulotaja. napata cku km kawaida,me ni mwembamba,nliwah kuumwa tumbo nkahc ni fibroid bt kupima ckuwa nayo. pia sina utasa!
 
Last edited by a moderator:
Nilipoona uzi nikajua unamaanisha hivi: http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=nHGcyOqGHg8#t=4s

default.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom