Recent content by dotwagu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kanusho: Aliyepigwa na Ndugai afariki dunia!

    maskini ndugai anaenda kunyea debe isangaaa
  2. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa na Prof. Baregu kwenda ACT-Wazalendo?

    ni kweli kula matapishi ya viroba ni ngumu sana..big up dr slaa kwa kuhama chadema maana kumkaribisha lowasa na kuwa mgombea huu ni upuuzi uliopitiliza...lema hawaongei halaf mnasema ni ukombozi?
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisipowapigia simu marafiki zangu, wao hawanitafuti

    Ni kweli
  4. D

    JamiiForums Tanzania Pindi Chana ashindwa kuibuka kidedea ubunge viti maalum Njombe

    daah yan humu ndan watu mna roho mbaya sana...pindi wa watu alikua mtoaji mzuri sana wa michango ya maendeleo kama mtakumbuka amewahi kuchangia elf 15 halaf leo badala ya kumfarij nyie mwamzodoa!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Dkt. Emmauel Nchimbi kuzuiwa kugombea ubunge

    Maskini Nchimbi..tangu apingane na maamuzi ya WAFALME ndo nilijua mwisho wake umewadia...anyway karibu kwa kijiwe!
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mtenda hutendwa: Lowassa kumbuka mlivyomfanya Malecela

    sometimes malipo huwa hapahapa duniani,hivyo eddo awe mpole tu maana ndicho walichopanda 2005 sasa wamekivuna 2015...Kikwete hana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mtenda hutendwa: Lowassa kumbuka mlivyomfanya Malecela

    kukatwa inauma jaman!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Muhongo kuzungumza na waalimu na kutoa Zawadi

    jamani chonde chonde walimu nendeni mkamsikilize huyu baba then mkomalieni awape angalau makapi ya escrow.......
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My xsmas

    ngoja akufie mzee wa watu halafu usingiziwe umeua kwa kutaka urithi!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Rwanda yaongoza EAC kama nchi inayonawiri kila sekta ikifuatwa na Kenya

    wanyarwanda ni watu wazuri sana wana moyo safi wa kumpenda mungu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Napendekeza huyu ndie awe mgombea

    anajua kuongea kiswahili huyu???
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ogopa mke wa mtuu..

    mbele ya mke wa mtu kuna cha umaarufu??
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunapendana ila tunaogopa kuambiana

    umelowa? wp? hebu fafanua kidogo hapo
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Police ngazi ya degree

    kumbe?
Back
Top Bottom