usipomtaja Dr. Slaa nanihiii hazikuishi eee!Mkimweka Slaa agombee hata tukiweka boksi litashinda.
Agogwe nawe pia sikukuu njema ila kumbuka action speak louder than words! Let's wait n see mwakani sio mbali!!! Nitakukumbusha
MziziMkavu wala sijataja nafasi gani agombee wala chama, hayo alovaa ni mavazi tu hata kwenye mtumba yamapatikana tena kwa wingi
Chukuwa time wewe usinjuwejuwe.
Umalaya kitu kibaya sana...
Siyo Mengi?
Kumbuka nani aliandaa mou na kusainisha mkataba na mpaka kutoa pesa kama hazina mwenyewe.
Nitakosaje kukujuwa na wewe ni mpenzi wangu umesha sahau kwani bibie?Chukuwa time wewe usinjuwejuwe.