Pindi Chana ashindwa kuibuka kidedea ubunge viti maalum Njombe

Hii habari imenifurahisha sana, yule mama ana Nyodo sana, bado mmoja Songea.
 
Alishiriki kumkata Lowasa. Na yeye amekatwa na nguvu ya umma. kweli muosha huosha. Anaugulia tu maumivu
 
daah yan humu ndan watu mna roho mbaya sana...pindi wa watu alikua mtoaji mzuri sana wa michango ya maendeleo kama mtakumbuka amewahi kuchangia elf 15 halaf leo badala ya kumfarij nyie mwamzodoa!
 
Aliomba risiti ya Tsh.15,000 eti akajifanyiza na yeye ni Wa kipato cha chini..Na hivi hajui kuongea jukwaani akapumzike tu
 
Back
Top Bottom