Mshahara wa Police ngazi ya degree

Mateka

Senior Member
May 2, 2011
131
41
Jamani wandugu kuna mtu anayejua kwa wastani mshahara wa Police ngazi ya degree holder ni sh ngapi?
 

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Jamani wandugu kuna mtu anayejua kwa wastani mshahara wa Police ngazi ya degree holder ni sh ngapi?
Unataka ujiunge na jeshi hilo la polisi au ulikusudia nini kuuliza mshahara wa askari polisi ndani ya JF?
 

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,177
3,326
Jamani wandugu kuna mtu anayejua kwa wastani mshahara wa Police ngazi ya degree holder ni sh ngapi?
Unataka ujiunge na jeshi hilo la polisi au ulikusudia nini kuuliza mshahara wa askari polisi ndani ya JF?
 

Mateka

Senior Member
May 2, 2011
131
41
Wandugu asanteni kwa majibu yenu.
nillikua na mpango huo wa kwenda lakini nilisitisha.
 

ntamaholo

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
12,721
6,466
Wandugu asanteni kwa majibu yenu.
nillikua na mpango huo wa kwenda lakini nilisitisha.

mtanzania maslahi wewe.
ungejiunga ili siku ukiwa mkubwa usaidie kusimamia michakato ya demcrasia nchini. Viongozi wengi wa jeshi shule hawana, wanaamini uongozi walionao ni fadhila za CCM ndo chanzo cha viongozi kuwa na upendeleo wa wazi kwa CCM na mara nyingi hutegemea kupewa vyeo zaidi.

kuepuka hilo ni kuwa na jeshi lililojaa wasomi wanaoamini kuwa kiongozi jeshini sio fadhila ya CCM bali ni qualities alizonazo na hata kama akifukuzwa jeshini atapata kazi nyingine kwa kuwa ana sifa zinazostahili.

tukiwa na askari mwenye imani hiii,

1. wizi wa kura itakuwa ni historia.
2. nguvu ya umma itaheshimiwa, wanachi watamchagua mtu kwa sera zake, lkn akishindwa kuzisimamia ataondolewa haraka sana na polisi wasomi watasimamia hilo tofauti na sasa.
3. waajiri wabovu wataheshimu wafanyakazi wao.
4. demcrsia ya kweli itakuwepo kwa vyombo vya ulinzi na usalama vitakuwa vinaendesha shughuli zao si kwa mazoea bali kwa kujali matakwa ya sheria na utalaamu wa hali ya juu-professionalism.
5. katiba itaheshimiwa, kwamba vyombo vyote vitawajibika kwa wananchi tofauti na sasa vyombo vinawajibika kwa viongozi wa CCM-Ukiukwaji mwingine wa katiba yetu
 

EvJ

Senior Member
May 3, 2011
194
25
kwenye majeshi yetu mshahara hawaangalii una degree ama diploma wanachoangalia ni cheo chako tu!kwahiyo kila ngazi ya mshahara inatokana na rank uliyonayo wakati huo!

acha kudanganya watu wewe,siku hz wanaangalia pia na level of eductn
 

sawabho

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
5,283
3,098
Wandugu asanteni kwa majibu yenu.
nillikua na mpango huo wa kwenda lakini nilisitisha.

Kama bado umri unakuruhusu, nakushauri ujiunge kwa sababu hakuna sehemu utapata ambapo mshahara utatosha. Jinsi utakavyopata mshahara mkubwa na matumizi nayo yatakuwa makubwa. Ni vigumu kuishi kwa mshahara, piga hesabu uone. Mbona watu wanaopata kima cha chini katika Utumishi wa Umma hawajafa kwa njaa na kila siku wanawahi kazini, na wengine wanaendesha magari mazuri.
 

MinMash

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
332
101
polis hakuna mshahara wa degree bali kuna mshahara wa cheo hata uwe na masters utaanza na police constable ama WP kwa waschana, ukitaka mshahara wa degree nenda halmashauri
 

mwambunnyara

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
518
201
Wewe unaongea usichokijua,kaa kimya,polisi name majeshi mengine wanalipa kulingana name elimu yako
 

MinMash

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
332
101
entry level polis na magereza unaanza na PC au WARDER jifanye mbishi!! isipokua jeshi la zimamoto,jwtz na idara ya uhamiaji!! polis kwa zaidi ya miaka 5 hawajawahi kuchukua graduate akaanza na ass insp!! uliza uambiwe
 

tommyzo

Member
Aug 14, 2012
65
9
ni around 380,000 hadi 450,000[/QUOT

Hapana sio ivo ni 743,000 basic pay, net pay inaenda hadi kilo 6 na ushee inategemea uko kwenye mfuko gani wa hifadhi ya jamii, na kuna posho ya katikati ya mwez 180,000, alafu bado ukikaa kaa utapata allowance 3. Msidanganye Watu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom