Bro Game of throne walio wengi Huwa hawaielewi lakini Kwa walio ielewa ni TV SHOW Kali sana sana. For now naangalia BREAKING BAD lakini sijaona chochote Cha special mpaka Sasa nimemaliza season 1.
Wenzangu mnaopenda kupendeza, natafuta sana kiatu cha vans cha mtumba, maana bei yake kutoka nje naona ya moto sana siwezi kufika.
Kama kuna anaweza kunisaidia kupata vans namba 39 ntashukuru sana
Vans zipo za aina nyingi lakini binafsi natafuta kama hiki rangi iwe nyeusi au kijani kama hiyo...
Ungeuliza kwanza kiongozi na sio kunishtumu moja kwa moja, na kama hujui siku nyingine jaribu kumfuata mtu kwa utaratibu.
Apps za kufake gps ni nyingi sana.
Ramadhan Mubarack muslim brothers and sisters.
Moja kwa moja kwenye mada, nimejaribu kutazama mienendo ya hizi dini nyingi duniani nikaja kugundua tulio wengi tunaishi kwa mkumbo wa vizazi vyetu tena especially wazazi wetu.
Kuna mafumbo bado hayajafumbuliwa katika hizi dini. Sisi ni wafuasi wa...
Habari!
Ni mshkaji niliefahamiana nae mwaka jana na tuna miezi kama tisa kwenye urafiki, ila mdomo wake unatoa harufu mbaya tukiwa katika katika mazungumzo. Sijajua shida ni hapigi mswaki vizuri, huwa hapigi mswaki kabisa au anapiga kwa matukio.
Hii hali nilikuwa najitahid kuivumilia kwa...
Habari wakuu?
Nina kama miezi miwili sasa tangu nisajili laini yangu ya Tigo. Kuna jumbe zinaingia katika simu zangu kutoka NMB ya kwamba nimefanikisha kuweka pesa hali ya kuwa sijafanya kitu kama hicho na wala laini hiyo sijaiunga na huduma yoyote ya kibenki zaidi na zaidi ina Tigo pesa tu...
Nipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri.
Mawazo yenu yana umuhimu.
Chuo: UDOM
Wakuu salam..
Niende moja kwa moja kwenye mada nimepangwa field kituo cha TMA(mamlaka ya hali ya hewa) Mtwara. Naomba msaada kwa mtu aliepo huku anipe maelezo ya vitu kama malazi, ili nijue najipanga vipi.
Mfano bei ya vyumba karibu na eneo hilo, bei ya chakula etc.
Natanguliza shukrani .
Dah ile vuuu!! Paaa si nikamaliza six mzee sahiyo akili inafahamu kuwa chuo ni bata na mademu wa kumwaga duh!!!.
Fresh mzee nikajitusu nikaomba mkopo Mungu Si MWENDAZAKE nikapata tena 100%. Basi mzee nikaingia Univ. Aisee hao mademu mbona siwaoni?
Aise mbona hata hizo bata ni za manati jamani...
Habari wana jukwaa?
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.
Ninahitaji kujifunza ufundi simu (fani ya ufundi simu) either hardware au software au zote mbili.
Napendelea nifundishwe na fundi simu mwenye ofisi yake na niko tayari kwa Gharama zozote.
Watu wanaweza kuniuliza kwanini sijachagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.