Dodoma: Nahitaji fundi simu wa kunifundisha

DOTHRAK

Member
May 22, 2021
15
154
Habari wana jukwaa?

Kama kichwa cha habari kinavyojielezea.
Ninahitaji kujifunza ufundi simu (fani ya ufundi simu) either hardware au software au zote mbili.
Napendelea nifundishwe na fundi simu mwenye ofisi yake na niko tayari kwa Gharama zozote.
Watu wanaweza kuniuliza kwanini sijachagua VETA? JIBU" mimi ni mwanafunzi siwezi kusoma sehemu mbili kwasababu ratiba zitaingiliana"

MAHITAJI YA FUNDI NINAYEMUHITAJI:
✓Fundi simu awe Dodoma mjini
✓ awe fundi mzuri sio mbahatishaji .

Natanguliza Shukrani .


DETAILS ZANGU:
✓Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 23 ,
✓Kwasasa napatikana Dodoma mjini .
✓Mawasiliano +255621011063(whatsapp or sms).
 
Kwahiyo uzi ndo umeishia hapa....mafundi jitokezeni basi mlithishe ujuzi wenu kwa watu wengine nanyi mtabarikiwa kwa kifanya hivyo!
 
Back
Top Bottom