Recent content by donasheri

  1. D

    Soko la hisa la Dar laisoma namba, mauzo yashuka toka 2.9 bil to 518 mil na hisa 2.4 hadi laki 6. Uchumi wa viwanda huu

    Kwa mtu yeyote au kampuni yoyote kama inahitaji kuandikiwa Business Plan iwasiliane na mimi - Email: donald.asheri@gmail.com
  2. D

    Ushauri wa Biashara, Miradi na Mikopo

    Contact Email Address: donald.asheri@gmail.com Kwa wafanya biashara Napenda kuwaarifu kuwa natoa huduma zifuatazo: MAJOR AREAS OF SPECIALIZATION 1. Business Advisory Services – business establishment; doing business profitably; conformity to government policies, regulations and procedures...
  3. D

    Kuanzisha kiwanda cha kutengeneza maji ya kunywa

    Mimi ni mtaalam wa miradi na nimefanya kazi kadhaa za kuanzishwa kwa viwanda vya aina hii. Nitafute kupitia: donald.asheri@gmail.com.
  4. D

    I have 200,000 USD

    Mimi ni mtaalam wa Project Management. Natoa business advisory services kwa wafanya biashara. Nawaandalia business plans kwa ajili ya miradi yao kwa ajili ya kuendesha biashara zao kwa faida; kwa ajili ya kupata mikopo; na kadhalika. Naweza kukusaidia kama unaweza kuwasiliana na mimi thru email...
  5. D

    Chadema tupeni mikakati ya utawala 2015

    Kumbuka mikakati ya kutawala kamwe haiwezi kuwekwa wazi au hadharani.
  6. D

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Wakati wa kupitisha ile Sheria ya Mchakato wa Katiba mpya yapo makosa yaliyofanywa na watendaji na viongozi wa juu serikalini. Kwanza Sheria ilipitishwa na Bunge la Muungano na Rais aliisaini. Pili Rais ameteua wajumbe kutoka Zanzibar na Bara ili kuunda Tume inayoongozwa na Jaji Warioba...
  7. D

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    Suala la Shibuda linatokana na mbinu chafu za CCM dhidi ya CDM. Napenda kuchukua nafasi hii kusema mambo yafuatayo: Kwanza kila nikimsikiliza huyu Bwana Shibuda naona ana mapungufu mengi ya kiweledi na kitaalam. Hawi na hoja ya maana kwa sababu yeye hucheza na misamiati tu. Kwa hiyo si mtu wa...
  8. D

    URGENT: LOOKING FOR FINANCE Tshs 400 mln

    Pole sana kwa kuhangaika hivyo. Ofisi yangu ipo tayari kuwasaidia kupata mkopo wa muda mrefu kwa riba nzuri. Tafadhali nitafute kiku_d@yahoo.co.uk
  9. D

    Matatizo ya Uongozi Tanzania

    Matukio mengi serikalini yanadhihirisha waziwazi udhaifu mkubwa wa uongozi wa JK. Nitajaribu kuelezea kidogo: Kwanza uongozi wa nchi ni kama kitambaa cheupe ukutani. Wananchi wanakiangalia wakati wote ili kuwa na imani nacho. Kinapokuwa cheupe wakati wote wananchi huwa na imani kubwa nacho...
  10. D

    JK Hana Uongozi Stahili

    Matukio mengi serikalini yanadhihirisha waziwazi udhaifu mkubwa wa uongozi wa JK. Nitajaribu kuelezea kidogo: Kwanza uongozi wa nchi ni kama kitambaa cheupe ukutani. Wananchi wanakiangalia wakati wote ili kuwa na imani nacho. Kinapokuwa cheupe wakati wote wananchi kuwa na imani kubwa nacho...
  11. D

    Siku 60 za Mugabe hazijaisha?

    TB Joshua prophesied Zambia's historic AFCON Victory By Zamfoot February 18, 2012 Comment As Zambians revel in the joy of their first African Cup Of Nations (AFCON) triumph, a video is circulating the internet with claims that Nigerian Prophet T.B. Joshua accurately predicted...
  12. D

    Siku 60 za Mugabe hazijaisha?

    Joshua, who commands a large following in Nigeria and beyond, said an African leader would die within 60 days. He failed to hint on the location of the leader, leaving wild guesses to fly around. "God loves us, you should pray for one African head of state, when I say President… again...
  13. D

    Siku 60 za Mugabe hazijaisha?

    Naona watu wanapotosha yale yaliyosemwa na aat TB Joshua. Kwanza ni dakika ya 25 kipindi cha pili cha mchezo (yaani dak 70 za mchezo). Sio dak 25 kipindi cha kwanza. Pili utabiri wa kiongozi ya Afrika - jina la kiongozi halikutajwa. Bali TB Joshua alisema ana ugonjwa wa siku nyingi. Atakufa...
  14. D

    Key ponits hotuba ya Jakaya kesho CCM Kirumba

    wanajf Dondoo za hotuba ya jk kesho ccm kirumba ni kazi za wasaidizi wake na yeye mwenyewe. Kutayarisha hotuba ni kazi ya wasaidizi wake na yeye mwenyewe. Kama makundi yote mawili hayana cha kusema basi. Nawaombeni sana wana JF tusiruhusu na tusitoe nafasi ya kuwa-spoon-feed watu hawa...
  15. D

    Rais kubeba matofali ujenzi wa ofisi ya mkuu wa mkoa

    Wanajamvi wenzangu, kweli hatuko serious. Viongozi wetu, waliosoma hata development studies na kujua wajibu wetu kwa jamii, wamejaa umangi meza. Wanapenda kupiga magoti kwenye mikeka wakifanya kazi. Wanapenda wanyenyekewe. Wako wapi akina Nyerere? Wako wapi akina Nyerere waliokuwa wakichimba...
Back
Top Bottom