Recent content by Don The Great

  1. D

    Sheria ya Manunuzi yaua ‘upigaji dili’

    Yes,hii paragraph ina ukakasi,ni danganya toto
  2. D

    Kitila Mkumbo awashangaa Upinzani wanaotetea vihiyo

    Wapinzani na wale wa Chama Tawala walitetea logistics za kuwaondoa pale chuoni,especially wale wanafunzi walikua under 18years. Kwa kweli mimi naona hii issue inakuwa twisted kila sisiku na sababu zinazotolewa zinabadilika.Tuzidi kuliombea hili taifa letu,tukiendelea kuwalaumu wapinzani wakati...
  3. D

    Meya azindua ukarabati na uchongaji wa barabara Manispa ya Kinondoni

    Hii imetulia sana.Before nilikuwa nasikia linapatikana kwa laki tatu.Kwa laki na sitini(160,000/=) naona ni bei nafuu.Hongera meya na team yako nzima.Mtasaidia sana kwa hii barabara ya goba-makongo juu-ardhi na Goba-Makongo Juu- Changanyikeni. Hizi barabara zitasaidia kupunguza foleni pamoja na...
  4. D

    Viwango vya gharama daraja la Kigamboni ni uhalifu dhidi ya ubinadamu

    Nashauri hizo gharama ziwe reviewed.Hazina unafuu kwa wananchi na wafanyabiashara.
  5. D

    Giza la Serikali ya Awamu ya Tano Kutoonyesha Bunge Live Dodoma

    very sad indeed,naisihi hii serikali ya awamu ya tano, waliangalie hili kwa mapana.Ni busara sisi wananchi tukiendelea kuonyeshwa bunge letu.Tunahitaji kujua ni nini kinaendelea nchini, wakati wa kipindi hiki cha bajeti, ni muhimu sana.Tunamuomba mheshimiwa Raisi, aingilie kati hili jambo,tuna...
  6. D

    Vyombo vya habari kutokurusha bunge LIVE

    To be honest, hii approach sikubaliani nayo,vituo binafsi wangeruhusiwa kurusha matangazo at their own expenses.Tunahitaji kuwaona wabunge wetu wanafanya nini huko bungeni as tumechagua sisi watuwakilishe.Hii sio haki kabisa,na ninaomba wabunge wote waungane kulitetea hili.Sio watu wote...
  7. D

    Kutoka TAZARA: Ujenzi wa barabara ya juu (Flyover) wazinduliwa rasmi

    Kutakuwa na challange still,ila its a good step.Magari yanayotoka buguruni kuelekea Tazara/uwanja wa taifa,yalihitaji flyover pia.Natumaini watakuwa wameacha provisions/matoleo kwa ajili hiyo huko mbeleni serikali ikipata hela.Mwenyezi MUNGU ibariki Tanzania na watu wake,Amen
  8. D

    Tuhuma NSSF: Makubwa zaidi yaibuka

    Duh,ila NSSF nadhani bado wana maswali ya kujibu,kwanini hawakutumia hekari zao za ardhi,wakaenda kuingia mkataba na kampuni binafsi yenye ardhi yake.Nadhani hii ndio main issue.Kwa upande mwingine tunashukuru kwa huo ufafanuzi,ila thamani ya ardhi haikua realistic to some extent kwa...
  9. D

    Audio: Mgomo unavyoathiri Kisiwani Pemba, CCM agomewa Mazishi ya Mtoto wake

    so sad indeed. Mimi nadhani ubinadamu/utu kwanza.
  10. D

    Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

    kati ya watu wa kufaa ukatibu mkuu ambao naona watavivaa viatu vya dr. slaa,wa kwanza na wapili wako influential sana kwa wanachama wao 1. mabere marando 2.ezekiel wenje 3.salum mwalimu
  11. D

    Wafanyakazi 597 wa NIDA wafutwa kazi. Waliofutwa wadai hawakulipwa mshahara kwa miezi 3

    so sad. They need kutengeneza mfumo mzuri wa process yote ya vitambulisho.Main issue hapo ni budget.
  12. D

    Ushahidi tuhuma za January Makamba

    Hiyo tarehe kwenye hiyo barua hapo chini ina utata? 06/03/06!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom