Ndio waliyokuwa wanataka maana wao sio waathirika wa moja kwa moja tuombea dua Allha awafanyie wepec ndugu zero ktk iliHivi ndivyo inavyoendelea kutokea Kisiwani Pemba
Sikiliza Audio Habari chanzo kutoka Zenji FM.
maskini mtoto kawakosea nini wangemzika tuu hana hatia yoyote
Jk nimpemba au anataka Unguja!?Dah yaani siasa na tamaa ya madaraka imeturudisha miaka 15 iliyopita wakati watu waliishapatana. Yote haya kasababisha Jakaya Kikwete
VILAZA wao wakishangilia upumbavuUpuuzi mtupu ! Wakati huo maalim seif katulia zake hotelini jijini daslam !
Hawa wanaubaguzi wakijinga sanaZanzibar ni zaidi ya siasa Wazanzibar lazima wakaubali kukaa pamoja nakutatua matatizo yao kwa haki na umakini mkubwa Zanzibar inarudi ile ya 1964.
Kama I'd yako inavyo jielezaWasiowafahamu Wazanzibari watashangaa kusikia matukio kama haya.
Siasa za Zanzibar hazikujengwa juu ya Itikadi ya vyama bali zimejengwa juu ya ubaguzi.
Ubaguzi haumalizwi kwa njia ya sanduku la kura!
.....Yana MWISHO haya....Tuwe na subira kwani udhalimu una mwisho!