Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,284
HALIMA MDEE: RAIS MAGUFULI BIL 88 ZA BARABARA YA MWENGE MOROCCO ZIKO WAPI?
*Barabara za kupunguza foleni DSM hazijajengwa pamoja na kutengewa fedha kwa miaka 3 mfululizo
*Barabra Mwenge kwenda Morocco zilitengewa fedha bil 88, ziko wapi.
*Nyumba za serikali, azimio la bunge la mwaka 2008 litekelezwe.