Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

Tunahitaji katibu mkuu ambaye atatutoa hatua hii kwenda hatua nyingine kulingana na wakati uliopo,sio katibu mkuu anayeshauriwa na mkewe.
 
Mmetiwa upofu kiasi cha kuashindwa hata kufikiri.....wenye akili timamu kama Slaa na Lipumba waling'amua akili finyu ya Mbowe kiasi cha kukaribisha kinyesi chenye harufu kali sebuleni kulikokuwa na manukato hai....

Wajinga mmebaki sebuleni wajanja wametoka......kisha mwaendelea kubaki huku mkicheka ilhali miale ya harufu ikiwaingia vinywani

Nyumbu ni nyumbu tu....[emoji1] [emoji1]

Hahahahaha

Bado unameza Porojo za Dr Kibwetere

Yule anakula maisha Canada na fedha za kuhongwa....Na ndio maana hampati siri zetu kwa sababu kumbe ndiye alikuwa Informer wenu

This time around.....Hatutawapa Nafasi...JPM anawakamua kule...sisi tunawakamua huku

Tulivowaambia JP ni team Laigwan nadhani hamkuelewa
 
Nyumbu mara nyingi hawatumii akili.......pia ni wasahaulifu sana.

Hoja ya mpango wa maendeleo ya miaka mitano......iliilazimu serikali kwenda kuiandaa upya na kutengua kanuni, baada ya taa ya treni kuangaza na kugundua mapungufu makubwa katika kuileta kwake


hahahahahha......acha weeeeee

Hio ni hoja ya Lissu na sio ya Huyo Ayatolaaaaa....acheni kudandia hoja...ndio maana mnalazimisha kupora hoja ya ESCROW kutoka kwa kafulila....wafu kabisa nyie
 
kati ya watu wa kufaa ukatibu mkuu ambao naona watavivaa viatu vya dr. slaa,wa kwanza na wapili wako influential sana kwa wanachama wao
1. mabere marando
2.ezekiel wenje
3.salum mwalimu
 
hahahhahahah...sio ninyi mnaaongozwa na Kibatari cha chama......Kamatochi ya treni vile....Yaani Jamaa ndiye Nuru ya Chama ...Kama Yesu vile
Jamani mbona wanivunja mbavu! Kibatari cha chama?
 
Ahsante Mbowe kwa kuhakikisha maccm na majipu yao hawana usingizi mchana na usiku wanawaza nani atakuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA.

Congrant kaka Mbowe
Viva CHADEMA
 
Mungu ibaliki Chadema,mungu wape hekima makamanda wafanye uchaguzi salama na kurudi salama na kikubwa ni kuhakikisha tinampata katibu mkuu anaefaa kulingana na NYAKATI HIZI maana kila jambo na nyakati zake na kila watu na enzi zao kwasasa chadema kama chama taasisi tunahitaji Katibu mkuu mwenye ushindani na sio mroho wa madaraka ili tuvuke salama na kwenda kuchukua NCHI 2020
 
Back
Top Bottom