Recent content by Domisianus

  1. D

    JamiiForums Tanzania Basi la LEINA TOURS Kufika Kahama saa 12:00 Jioni kutokea DSM je ni halali?

    Hilo siyo la Kweli kabisa kuwa hilo basi lilifika saa 12:00 jioni, hilo basi la Leina limefika Nzega saa kumi na mbili kamili na lilikuwa likiongozana kwa ukaribu sana na basi la Kesbo,sasa ndugu yangu taarifa zingine huwa siyo sahihi zinatakiwa kufanyiwa kazi kabla ya kupost. Uwezekano wa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania MAZISHI YA Arusha KESHO

    Kazi imeisha anza, kama coverage itakuwa kubwa kiasi hicho, it might be true kwani mimi nimeisha iona hii habari Aljazila mara kibao tu.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Kikwete anaweza nini?

    Ni Swali zuri amabalo linahitaji mjadala mpana sana, Kwanza mimi ninaweza kujibu hilo kwa kuangali pande mbili yaani Chanya na Hasi. Chanya Siyo kwamba Kikwete hakuna kitu amabacho hawezi, kuna mengi kama akiamua kuwa na uthubutu wa kukemea na kuyasimamia,anaweza kufanya maajabu makubwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania The Moose on the Table of Mr. President

    "By the day soldiers stop bringing you their problem is the day you have stopped leading them. They have either lost confidence that you can help them or concluded you do not care. Either case is a failure of leadership". Everyone will agree with me that Kikwete is the president of the United...
  5. D

    JamiiForums Tanzania The Moose on the Table of Mr. President

    The Moose on the Table of Mr. President "By the day soldiers stop bringing you their problem is the day you have stopped leading them. They have either lost confidence that you can help them or concluded you do not care. Either case is a failure of leadership". Everyone will agree with me...
  6. D

    JamiiForums Tanzania GE2010 Mbunge wa Rorya - Mara

    Kwa hili kaka nasema go ahead, maana huyu mbunge natai kinyaa sana, amepat ubunge kwa kutoa rushwa, Mbunge ni kiongozi amabaye anaweza kuonyesha njia na he/she must has an ability to think strategic jinsii ya kuweza kuwakomboa watu kutoka kwenye lindi la umasikini na lazima watu waelekezwe jinsi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2010 KUANGUSHWA: Jinsi Samwel Sitta alivyotoswa kwenye Uspika

    Hii kali, lakini kwangu mimi mpaka sasa haijangia akilini ni kwa nini wamemtosa bwana six, hii nchi kwa jinsi inavyoendeshwa, wananchi tusipobadilika , tutaendelea kuishi maisha ya shida sana na kula mlo mmoja kila siku huko mitaa ya Buguruni, tandale, Mabatini mpaka tukome na huko vijijini...
  8. D

    JamiiForums Tanzania CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    Fantastic,update on time. we can learn from CCM, whenever there is some signs of oppostion to win, matokeo kutangazwa mpaka mtutu wa bunduki, shame up on them
  9. D

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete atawazwa kuwa chifu wa wanyakyusa!

    Kweli jamani njaa hizi zitatumaliza, hivi kweli hayo ni maamuzi ya kabila la kinyakyusa kumpa huyo kijana heshima kubwa kiasi hicho? kama ni kweli ni mawzao yao wote, we still having a a very long way to go.
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2010 Marando amlipua Kikwete

    Amenena, kama si kweli, basi walipinge, jamani hii ni hatari tena hatari nene.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kakobe: Hatuchagui malaika bali Rais; afuta Ibada za FGBF siku ya uchaguzi

    Well done Mr.kakobe, hiyo ndo demokrasia na ukomavu wa kifikira, lazima mchague kiongozi ila hata mkichagua bomu, msilalamike kuwa mlichaguliwa, hili ni jambo la kuigwa na madhehebu mengine.
  12. D

    JamiiForums Tanzania GE2010 Prof. Baregu Ajibu Mapigo kwa Kinana na Makamba

    Tusi ni kitu ambacho ni subjective and its not objective at all, na kama umeisha wahi kuchunguza,mara nying mtu akiambiwa ukweli huwa anasema ametukanwa,kitu ambacho kwa karne ya sasa hakina mantiki yoyote, ukiharibu, lazima uambiwe kuwa umeharibu na ukiiba lazima uambiwe kuwa umeiba na siyo...
  13. D

    JamiiForums Tanzania MAKUBALIANO YA SIRI: JK aahidi kumrudisha Lowassa madarakani

    But we have to pay in mind Mr Edward is still very powerful and he is a leader having very strong authority, so anything it can happen at any time.Stay alerted!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hili Bunge letu hili la Tanzania ....

    Very good observations, ni kweli bunge la Tz linatia watu hasira sana,.the very serious matter ambayo watu wanahisi na kufikiri kuwa itajadiliwa kwa kina na mapana, unakuta inajadiliwa kijuu juu tu, kweli hata mimi hili bunge letu huwa silikubali hata kidogo, wapo kwa ajili ya kuangalia maslahi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imefanya nini kustahili dhamana ya Uongozi wa Taifa?

    Ama kweli mlaria sugu unachekesha, anyway its your views, but know that what u gave out is absolutely nonsense.
Back
Top Bottom