Elections 2010 Mbunge wa Rorya - Mara

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Natoa azimio kuwa mwaka 2015 nagombea jimbo la Rorya kupitia tiketi ya CHADEMA ,kwani nia ninayo na uwezo pia ninao .Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa JF wote.
 
Huyu hapa ingawa wanasema kitabu chake cha mwisho kusoma ni cha KALEGESYE

4d29648a-f949-4fa0-968c-979b26ef581f.jpg
 
Asante tuko pamoja 2015 nakwenda kugombea ubunge kupitia chadema , You shall never walk alone! My friend jipange !!1!
 
Asante tuko pamoja 2015 nakwenda kugombea ubunge kupitia chadema , You shall never walk alone! My friend jipange !!1!
Wapi kaka?..Taja eneo husika ili tusigongane!
Kimsingi nampongeza sana mleta mada...ni wakati sahihi kabisa kuongelea uchaguzi wa 2015, maana mwisho wa uchaguzi ndiyo mwanzo wa uchaguzi mwingine!
 
Asante tuko pamoja 2015 nakwenda kugombea ubunge kupitia chadema , You shall never walk alone! My friend jipange !!1!

Afadhali uwahi maana huyo Airo ameshinda Ubunge kwa mapesa yake tu sidhani kama anao uwezo. Infact sina imani kama kweli amegombea U bunge kwa maslahai ya Wana Rorya.
 
Afadhali uwahi maana huyo Airo ameshinda Ubunge kwa mapesa yake tu sidhani kama anao uwezo. Infact sina imani kama kweli amegombea U bunge kwa maslahai ya Wana Rorya.

Rorya Kupitia chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Peoples poweeeeerrr
 
Nilikwisha tangaza wiki 2 zilizopita kuwa nitagombea Ubunge wa Jimbo la Kyela mwaka 2015 kupitia CHADEMA,mikakati imeanza sasa ya "take back our Kyela";mapema tu mwakani nitawaita waandishi wa habari wana JF kijijini kwangu Talatala kuzindua "manifesto"yangu!

Tukianza MICHAKATO mapema kwa kila jimbo CCM itang'oka!
 
jamaani nina masters ya MBA(erasmus univesity,nerthelands),B.COM(Udsm) CPA(T) nadhani ninzazo sifa stahili au vip wana JF,nimekuwa mwana chadema tangu mwaka 2003,naipenda chadema,naipenda DR,SLAA naombeni ushirikiano wenu
 
Omunga kama u siriasi naanza kutangazo kiama cha jirani yanu Lameki!!!
Maana wana Rolya wanajali sana kitabu. :yield::yield::yield::yield::yield:
 
Narudi shule jamani hata kama nitakuwa katikati ya shule yangu late 30 nitaingia kilingeni nami, Inshallah
 
Ndg yangu hao watu wa Rorya hawana Mbunge kama ndo huyu. Nilitazama hoja zake ITV kuelekea uchaguzi, ana sera za kuwa mfadhili wa wananchi badala ya kiongozi. Hafai kabisa. e.g alikuwa anawaambia watumbuizaji waliofika kukusanya umati kwamba wafungue akaunti yeye atakuwa anatembea na cheque za millioni kumi ili awe anagawa kwa vikundi!!. Nikajiuliza kwamba kwani wajibu wa Mbunge ni kugawa pesa? Pamoja na kwamba tunahitaji watu wenye uwezo wasaidie wasiokuwa nacho, sioni kama ni sera ya kuikomalia hiyo.

Pili, akasema akipita ubunge kazi moja wapo nyeti atakayoifanya ni kuwakusanya vijana na kuwaweka kwenye kambi za michezo, huko wawe wanakula na kunywa bure kwa mwezi mmoja. Nikashangaa watu wanamshangilia kwa nguvu alipo waambia vijana mpo??

Mkuu just go ahead. Lakini, ujue kwamba JF haisomwi kule Rorya na kama inasoma huenda ni 0.0001%. Anza mikakati ya kutembelea kule na kuwasiliana na uongozi wa juu wa CHADEMA ili kuanza kujenga mtandao wa chama. Mtandao mzuri utawezesha uungwaji mzuri wa wananchi.
 
jamaa kweli hafai, alikuwa anaongea bila mpangilio wala uelewa. ni aibu kwa CCM kumptisha mtu kama huyu na wananchi kutokuwa na ufahamu wa kutosha kumkataa...
 
Nilikwisha tangaza wiki 2 zilizopita kuwa nitagombea Ubunge wa Jimbo la Kyela mwaka 2015 kupitia CHADEMA,mikakati imeanza sasa ya "take back our Kyela";mapema tu mwakani nitawaita waandishi wa habari wana JF kijijini kwangu Talatala kuzindua "manifesto"yangu!

Tukianza MICHAKATO mapema kwa kila jimbo CCM itang'oka!

Mkuu unataka tupambane? Ngoja nianze kukusanya laptop kwa wapiga kura
 
Kwa hili kaka nasema go ahead, maana huyu mbunge natai kinyaa sana, amepat ubunge kwa kutoa rushwa, Mbunge ni kiongozi amabaye anaweza kuonyesha njia na he/she must has an ability to think strategic jinsii ya kuweza kuwakomboa watu kutoka kwenye lindi la umasikini na lazima watu waelekezwe jinsi ya kuweza kujikomboa, sasa huy ndugu akiwa nagawa pesa, kesho akifa, ni nani atakuwa atakuwa anawagaia hizo pesa, shame up on wana Rorya.
 
Mimi katika majimbo yaliyonisikitisha ambacho CHADEMA wangechukua bila jasho ni jimbo la Rorya. Huyo mwizi wa ng'ombe zetu airo aka Lakairo hakuwa mshindani ila mlaghai tu kwa kutumia pesa.
Marando angegombea angepita kilaini au yeyote ambaye angejitokeza. Mgombea wa CHADEMA inasemekana alishinda na mpaka siku ya tatu matokeo yalikuwa hayajatangazwa Airo akiwa anakataa kusaini. Badae ikatangazwa ameshinda. Wakiwa na fisadi mwenzake Gachuma walikuwa wanahonga pesa kama hakuna sheria ya uchaguzi vile. Pamoja na kumwaga pesa wananchi wa Rorya wana damu ya upinzani na uanaharakati hivo walikuwa wanakula pesa lakini kura wanapiga kwa CHADEMA. Alinunua madiwani kuwaweka wagombee ili CCM ije ipitishe miswada kirahisi halmashauri lakini wananchi walichagua madiwani wa CHADEMA. Kati ya madiwani wa 21 wa halmashauri CHADEMA wana madiwani si chini ya wanane. Kwa hivo pamoja na kutoweka kampeni kali kupata jimbo hilo ni wazi jimbo lilikuwa la CHADEMA lakini hawakushughulika vya kutosha ikiwa pamoja na kutoteua mgombea anayekubalika.
Mnaowania jimbo hilo ni kati ya wasomi waliomwogopa Lameck na sasa baada ya kuona udhaifu wake ndipo mnajitokeza. CHADEMA isifanye kosa kuachia holela uteuzi wa mgombea wa jimbo la Rorya bila kuangalia mtu makini atakayechukua ushindi. Omunga kama unataka kugombea hakikisha kweli unahistoria nzuri kwa wananchi siyo tu elimu.
Kilischonishangaza ni jinsi wasomi walivomwogopa Airo. Jimbo lenye wasomi wengi na ninavojua si watu wepesi kunyamaza walinywea kama hawapo huku wakimwachia darasa la saba mwenye pesa kuliaibisha jimbo letu
 
Afadhali uwahi maana huyo Airo ameshinda Ubunge kwa mapesa yake tu sidhani kama anao uwezo. Infact sina imani kama kweli amegombea U bunge kwa maslahai ya Wana Rorya.kwa maslahi ya La cairo hotel ya mwanza.
 
Back
Top Bottom