MAZISHI YA Arusha KESHO

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
Kwa taarifa nilizopata ni kuwa raisi jakaya kikwete na waziri mkuu pinda watahudhuria mazishi ya kesho kwenye viwanja vya nmc arusha.na hii imetokana na msukumo wa kimataifa kwani taarifa zinasema kuwa

bbc
dw
aljaazira
cnn
sbc
sky news

na magazeti kibao ya magharibi tayari wako hapa arusha kuonyesha tukio hili katika coverage kubwa kuliko inavyotegemewa

naomba sana wananchi wanademokrasia na mashujaa walioko kokote tanzania wafike kesho na wakazi wa arusha tunawaomba mjitokeze kwa wingi kabisa
 
Wakazai wa arusha kama kawaida yenu msikose machalii wangu tuje tuwaage ndugu zetu aisee inatia uchungu sana
 
hghahhahhahaha hapo ndo nimewakubali ccm wamekuwa wajanja KIDOOGO! WASISUBILI UJIKO WAZOE WENGINE BUT hizi habari si za kweli vipi sherehe ya Mapinduzi hata hudhuria???? huuuu ni URONGO SASA!
 
Nimetumiwa taarifa pia kwenye simu yangu na taasisi ya Arusha-Mambo ikinijulisha kuwa MAANDAMANO YAMEPEWA BARAKA NA JESHI LA POLISI, na hivyo yatafanyika kihalali...Hureeeee!
 
Kwa taarifa nilizopata ni kuwa raisi jakaya kikwete na waziri mkuu pinda watahudhuria mazishi ya kesho kwenye viwanja vya nmc arusha.na hii imetokana na msukumo wa kimataifa kwani taarifa zinasema kuwa

bbc
dw
aljaazira
cnn
sbc
sky news

na magazeti kibao ya magharibi tayari wako hapa arusha kuonyesha tukio hili katika coverage kubwa kuliko inavyotegemewa

naomba sana wananchi wanademokrasia na mashujaa walioko kokote tanzania wafike kesho na wakazi wa arusha tunawaomba mjitokeze kwa wingi kabisa

Wanakwenda ili kupoza makali ya hotuba za akina Slaa na Mbowe. Pamoja na kuwa chama chao na polisi wao ndio wauaji; na pamoja na kuwa wamechelewa sana kwenda kuwatembelea wafiwa; hata hivyo (km taarifa hii ni sahihi) nawapongeza.
 
hghahhahhahaha hapo ndo nimewakubali ccm wamekuwa wajanja KIDOOGO! WASISUBILI UJIKO WAZOE WENGINE BUT hizi habari si za kweli vipi sherehe ya Mapinduzi hata hudhuria???? huuuu ni URONGO SASA!

Sherehe za mapinduzi si tatizo. Gwaride ni asubuhi ... jamaa wanaweza kuruka kwa ndege Arusha - Znz - Arusha. Ameshafanya hivyo kwenye maziko mengi yaliyogongana na shughuli za kitaifa.
 
Lakini inatakiwa kuwa shughuli hiyo iongozwe na CHADEMA parse!..(100%)
Hao akina JK na nanihii wake wawe waageni au watazamaji tu, ili ionyeshe maana...
Utakuta wanakuja na ku-take-over shughuli ya watu na kujifanya wao ndio walioshughulikia ...Wanazi sana hawa!
 
Kazi imeisha anza, kama coverage itakuwa kubwa kiasi hicho, it might be true kwani mimi nimeisha iona hii habari Aljazila mara kibao tu.
 
Kwa taarifa nilizopata ni kuwa raisi jakaya kikwete na waziri mkuu pinda watahudhuria mazishi ya kesho kwenye viwanja vya nmc arusha.na hii imetokana na msukumo wa kimataifa kwani taarifa zinasema kuwa

bbc
dw
aljaazira
cnn
sbc
sky news

na magazeti kibao ya magharibi tayari wako hapa arusha kuonyesha tukio hili katika coverage kubwa kuliko inavyotegemewa

naomba sana wananchi wanademokrasia na mashujaa walioko kokote tanzania wafike kesho na wakazi wa arusha tunawaomba mjitokeze kwa wingi kabisa

Sipendi kusikia wasanii wa CCM wakipewa nafasi ya kubwabwaja waje lakini wakae kimya kabisa.
 
hawawezi kuwepo katika mazishi! siyo watu wa kada hiyo! na kama watakuwepo nitawashangaa sana! wataiharibu siku ya kesho! hatuwahitaji! hili ni tukio lisilowahusu!:sing:
 
Unawau mwenyewe kisha unaenda kwenye maombolezo ili uonekane umewazika na ni mzikaji!!!!...goosh!:Cry:(... are my private-parts functional?!!!)

Kill them before they grow!!...is their Motto!
 
Ili kuepusha hasira zangu ambazo naweza kushindwa kuzicontrol kama mfiwa mfano angekuwa amepigwa risasi kaka au mdogo au ndugu yangu na wauaji najua ndo hao police wako hatua chache tu hakika nisingehudhuria maana ....wataniua na mie bure japo kuwa ningehakikisha nadondoka nao kama kumi hivi..
 
Dr Slaa mkuu wetu nakuona uko active kwenye hii thread..
Tafadhali tuambie mmewaalika hao watu waje kweli?
Just curious to know!
 
hghahhahhahaha hapo ndo nimewakubali ccm wamekuwa wajanja KIDOOGO! WASISUBILI UJIKO WAZOE WENGINE BUT hizi habari si za kweli vipi sherehe ya Mapinduzi hata hudhuria???? huuuu ni URONGO SASA!
Nilishasahau kuwa tuna sherehe za mapinduzi kesho, kweli mambo huwa yanabadilika.
 
Back
Top Bottom