Recent content by dmaujanja1

  1. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania Hii ndio hali ya Nando (Mshiriki wa BBA) baada ya kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya

    Whow is kaka voda milionea?
  2. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kupata TIN Number

    Mkuu Tin ni buree Hakuna Cha kwenda kulipia Benk. Nenda ofisi Za TRA iliyo karibu Yako. Naomba kuonana Na Afisa anayeshugulikia mambo Ya Elimu Kwa walipa kodi atakupa majibu sahihi zaidi.
  3. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania Tumelelewa na 'mama'! Je baba na nduguze wanastahili kuitwa kwenye mahari?

    Kumbe mmeshaanza kutoa hiyo laki laki? Mama mnampa kiasi gain yeye?
  4. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania Tumelelewa na 'mama'! Je baba na nduguze wanastahili kuitwa kwenye mahari?

    Me too katika watoto Wa mama yako Kuna wakiume?. Hivi stories yako imenifanya nijione mnyama sana na Wewe na Ndgzo nimewaona kama Malaika. Mimi kabla hajamaliza habari ya laki laki kila mwezi ningemng'oa meno. Ukweli Mzee hakuja kwa sababu anawapenda ila amerudi sababu ni muda wa mavuno...
  5. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania Msanii Giggy Money na kukaa uchi

    Swali yuri sana najiuliya ni msanii wa aina ipi_ maigizo au mzik
  6. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania NSSF, mbona Mafao yenu kiduchu kuliko wenzenu?

    Mkuu nimeufatilia huo uzi uliouweka hapo juu vzr. Mimi nimekuwa na hawa jamaa(NSSF) for 7 years now. Je ukitaka kuhamia mifuko mingine taratibu zikoje?
  7. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania NSSF, mbona Mafao yenu kiduchu kuliko wenzenu?

    Je upi ni mfuko bora zaidi Mparee2 na Mu-Israeli ?
  8. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

    Thank U Comrade
  9. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

    Plz tell me NN kwanini walianza na wimbo wa Mexico-_
  10. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

    Wimbo wa taifa wa Mexico umeibwa kwa sababu gani wataalam nijulisheni
  11. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Source plz
  12. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania MRS mambo yanawawia magumu mnaishi ndoa za Karne hii kwa sheria za Karne Iliopita,hamna master plan

    lara1 ukweli wewe huwa kichwa sana leo umetema madini hapa hata Mungu atakubariki tatizo kesho/kesho kutwa unaweza ukaja na uzi ukawa opposite na uzi wa leo. Happy new year japo AVATA hii sijaipenda hebu rudisha ile ile. note hili ni ombi tu
  13. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania Gunmen Hunted After 12 Killed At Paris Magazine

    Da Askari ameniuma sana.Mmmmmh!
  14. dmaujanja1

    JamiiForums Tanzania iPad for SALE

    Bei je?
Back
Top Bottom