Umofia kwenu JF,
Nilikuwa namuangalia sam misago na wageni wake ambapo m1wapo ni msanii giggy money,kiukweli mavazi anayovaa hayana maadili yeyote na EATV huwa wanampenda sana kumuweka,yaani leo kavaa kipensi kinachoishia kwenye sambusa na kalio lote linaloonyesha bonde la ufa wazi wazi,BASATA mmulikeni na huyu uenda akawa anafanya biashara nyingine tofauti na mziki.
yoyote anayetaka kula mzigo ule wa Gigy Money ani PM
Kumbe na huyu binti ni msanii duuu
Nyapu yake.
Tako lake.
Bonde LA ufa lake.
Kipensi chake.
Wewe unapepesa macho ya nn?
Ulilazimishwa kuangalia channel hiyo.
Tutakupiga BaN
Aisee..
sitaki kuamini kama na weye ni mtu mzima,tena uliyepitia jandoni.
Swali yuri sana najiuliya ni msanii wa aina ipi_ maigizo au mzikdah bongo kuna wasanii wengi siku hizi
huyo demu ametoa wimbo gani?
Na leo lipo fnl hivi huyu Sam analipiga hili? Dah ila limejaaliwa neema za ala
Hahahaha.....Hapa umeponda au umesifia?........ kazi ipo......