Recent content by DM MOWO

  1. D

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tunawakaribia Man City na lazime tuwe nafasi ya pili ndo ubingwa wetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. D

    JamiiForums Tanzania Bongo Hakuna Jezi Original

    Nishaacha kununua mijezi huku bongo ambayo ukiivaa unavuja mijasho muda wote Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya UKIMWI: Mume anao, mke na watoto hawana

    Tudadavulie basi ili tupate maarifa ndiyo maana nikaleta uzi hapa ili tujue zaidi kutoka kwenu nyie wataalamu.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msichana mwenye fani ya ushonaji anahitajika haraka

    Mi naomba nije kwa niaba maana yeye hana smartphone
  5. D

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya UKIMWI: Mume anao, mke na watoto hawana

    Ngoja tusubiri wataalamu waseme.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya UKIMWI: Mume anao, mke na watoto hawana

    Nimekuwa nikifatilia mijadala ya UKIMWI humu kwa muda mrefu na haya ninayotaka kuyasema humu yalishasemwa na mimi nimeyashuhudia siku chache zilizopita kwa majirani zangu. Jirani yangu huyu aliugua sana na kulazwa, Dokta akaamuru aje na mke wake na watoto wote wapimwe (hapa nahisi alikuwa na...
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii Afrika sasa tunaishije na mke maana suala la kukosa uaminifu kwenye ndoa limekuwa kawaida

    Ukitaka kuishi kama mababu oa mbibi
  8. D

    JamiiForums Tanzania Je ulisha wahi kumkopesha mzazi wako/ mlez pesa?????

    Mimi nilimkopesha mama wangu wa kambo ukapita muda alosema atarudisha. Kilichotokea akawa anajistukia hata ukimpigia kumsalimia au kumpasha habari yoyote na nilipogundua hivyo ikabidi ile pesa nimwambie aachane nayo nikasema akiipata ammeongezee kwenye ada ya mjukuu wake anayekaa naye ndo...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tunauza Mbao za kupaulia

    Kwa wale wa Mwanza wasiliana nami namba 0714263983. Ni mbao nzuri kutoka msitu wa serikali Buhindi.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    We jamaa comment yako inachekesha sana.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Walimu wawili shule ya Sekondari Kizaga wilayani Iramba wahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanafunzi

    Watu hawatumii vzuri bongo zao,wengi wakurupukaji tu yakiwakuta na wenyewe ndo wanaanza kulialia hapa.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Walimu wawili shule ya Sekondari Kizaga wilayani Iramba wahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanafunzi

    Wewe ndo hauna hautumii ubongo wako vizur kifikiri kila ukipokea kitu ni kukubali tu, haufikirii upande mwingine ningekuwa karbu na wewe ningeset watu wakutaje hapo akili zingekuingia.Hapa hakuna anapenda hivyo vitendo ila tunaangalia hiyo adhabu waliopewa hao walimu ni kweli ndo wahusika...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Walimu wawili shule ya Sekondari Kizaga wilayani Iramba wahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanafunzi

    Hapo sijaona ushahidi wa kuthibitisha uzinzi labda msg na mtu mwenyewe kukiri.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nacte wametoa selection zote

    Chuo misitu Olmotonyi hatujui wanatoa lini?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nacte wametoa selection zote

    Chuo misitu Olmotonyi hatujui wanatoa lini?
Back
Top Bottom