Nacte wametoa selection zote

kwa waliokosa wanatoa sababu zisizo vunja moyo kauli zao zinapendeza
 
Nimeandikiwa ivo wakuu
Dogo atakua kishakosa chuo maana nimeprovide details zake lakini wapi sion selection zaidi ya hii picha chini
Screenshot_20190907-160025.jpeg
 
Amekosa asubiri second Round ila ngoja niwape ushauri wadogo zangu na wakubwa zangu siku nyingine mupate.

Kwa sasa Uhitaji wa wanafunzi kusoma vyuo vya afya hasa vya serikali ni mkubwa kuliko vyuo vinavyohitaji wanafunzi..hapa namaanisha wanafunzi ni wengi kuliko idadi ya vyuo na nafasi.

Ukiangalia kwa miaka miwili ya karibuni serikali imeanzisha mtindo wa kuwapeleka wanafunzi wa kidato cha 4 moja kwa moja kwenye vyuo vya afya hivyo vyuo hivi hubaki na nafasi chache kwa wale waombaji na ushindani huwa mkubwa.

Mara nyingi waombaji huwa wanalenga vyuo maarafu tu hasa wanaomba Clinical Medicine bila kuangalia ufaulu wake na idadi ya watu waliomba kwenye chuo husika.unakuta mtu anaufaulu wa kawaida sana mfano DCC lakini anaomba vyuo vyenye ushindani kama LUGALO,MTWARA,LINDI,KILOSA,KIBAHA,AMO TANGA,KCMC hivi vyuo vinapendwa sana na watu hivyo unakuta chuo kinahitaji wanafunzi wasiozidi 80 lakini waombaji wanafika elfu 2 hadi 3+.

Kumbuka baada ya matokeo ya form 6 kuna watu wengi ambao huwa na ndoto za kusoma digrii za afya ndoto Zao hufa hivyo mahala pekee wanapoona panaweza kuwasaidia kupata nafasi ya kutimiza ndoto zao ni kwenye hivi vyuo hapa sasa idadi ya watu inaongezeka ukichanganya na wale wa form 4 waliomaliza wakachaguliwa advance ila wanataka kuomba afya na wale waliokaa mtaani wakaamua kuomba namba huwa kubwa.Mara nyingi walioshindwa form 6 wengi wao wana division one na ufaulu mzuri kwenye masomo ya sayansi yaani Physics,Bios na Chemistry utakuta mtu ana BBB,CBB,ABB,AAB nk.

Hapa sasa watu wasiojua ndo huwa wanabugi mtu kwa mwenye DC kama unahitaji kusoma na kulata chuo kwa urahisi usiombe diploma maana kwenye ushindani maksi zako wewe ndogo..omba moja kwa moja Clinical Asistant utapata bila tabu kwa Round ya kwanza.Kuna vyuo kama Songe cotc,Sumbawanga na vyote ambavyo hutoa CA huwa watu hawavitolei macho kwenye Round ya kwanza hivyo waweza pata kiurahisi hata kama ufaulu wako ni wakawaida.Nitoe mfano mwaka jana kuna watu wawili hapa kitaa wawalikua na DCC kila mmoja wakanifuata niwaelekeze waombe vyuo vya afya niliwashauri sana waombe Certificates ya Clinical Assistant badala Ya Diploma ya C.O wakagoma matokeo yake wakakosa,wale wale mwaka huu wamefuata ushauri wangu wamepata.

Watu wengi wanadhani wakisoma Certificates ni ngumu kusoma Diploma,basi mnakosea ukiomba cetficates ukiwa na ufaulu wa kawaida kwanza utapata kiurahisi na ukihitimu baada ya 2 years unapata cheti na unaweza kuapgrade kwenye chuo cha serikali chochote ukapata Diploma kwa urahisi zaidi kwahiyo msiogope.

Niwashauri pia wale wa kidato cha nne wa mwaka huu kama unahitaji kusoma vyuo vya afya na unataka upate bila usumbufu basi mkipewa zile form za kuchagua shule ombeni moja kwa moja msisubiri kuja kuomba mwakani matokeo yakitoka maana hujui utapata ufaulu gani na ushindani utakuaje.

Sasa mliokosa secind round inakuja lakini bado kutakuwa na ugumu wa kupata maana vyuo vinavyobaki na nafasi ni vichache sana na waimbaji wale wengi Hapa pia kuna mchuano mkali bado kuna watu walikuwa na CCC wamekosa watarudi tena kwenye vyuo vya certificates wewe mwenye DCC utaachwa.mwaka jana baada ya wale vijana kukosa waliomba Songea Kusoma CA,Amo na KCMC hivyo ndo vyuo vilivyobaki chaa ajabu Songea mtu wa mwisho kuchaguliwa alikuwa na one ya 14 na BBC kama sikosei hata wanosoma Songea wanalifahamu,na vyote vilivyobaki walichukua one tupu,sasa wangekubali tangu mwanzo wangepata kirahisi ikawa too late.

Pia niwakumbushe wale wanaoomba chuo pendwa Muhimbili niwaambie kabisa mujue kama huna division one sahau kitu kinachoitwa muhimbili hasa kwenye kozi kama Pharmacy,Dental na Medical lab.

Mwisho waonbaji msiangalie C.O tu mjaribu kuangalia na hizi kozi zingine zina market kubwa sana Radiology,physiotherapy,anesthesia,dental nk

Niwatakie moyo wa subiri na uvumilivu mwakani msifanye makosa.
Nimeandikiwa ivo wakuu
Dogo atakua kishakosa chuo maana nimeprovide details zake lakini wapi sion selection zaidi ya hii picha chiniView attachment 1200789
 
Mkuu nimekupata vizuri mnoo
Ubarikiwe acha nimpe moyo wakati ujao asifanye makosa

Mkuu uko sahihi kabisa mimi mdogo wangu ana ufaulu wa DBC sasa tukalumbana sana akasema mimi ufaulu wangu mzuri sitaki kuomba cheti kabisa mimi nikamwombea wakati anaona akili ikanicheza mwishoni nikafuta kisiri sana bila yeye kujua nikaweka cheti chaguo la mwisho kabsa ndio kachaguliwa hilo hilo leo anashukuru sana
 
Back
Top Bottom