Recent content by dkirenga

  1. D

    JamiiForums Tanzania Bibi aliyeahidi kuwa gesi ya Mtwara haiwezi kutoka kwa Wana-Mtwara

    Inawezekana alivyoona kile kichapo akatengua kauli unacheza na jeshi nini broo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa dell 620 laki 2 tu

    Picha please...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Prof. Kikwete

    Bidhaa zinatoa majibu ya wachina sasaaaaa....... Do....... Ehee... Mungu baba tupe maarifa...
  4. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu binti nimempata mwezi wa tatu sasa hajaniomba hela nimueleweje

    Shukuru Mungu sana
  5. D

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi wenzangu huwa mnatongozaje?

    Kubali utongozwe kwanza ndio itongoze
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Kiislamu hawautaki tena ukewenza?

    Nguvu za kiume kupungua kwa kasi pili buddget ni finyu sana hajitoshelezi heri hawe hawara amwibie mtu kuliko uke wenza ni shida
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanikwa!

    Tunajua imetumwa tu upunguzi nguvu ya Chadema unababaika mara ukawa mara chadema mara ruzuku we tulia ccm usijitese bure
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kafulila kupandishwa kortini na IPTL itakayomdai bilioni 310/=

    Wataenda kuumbuka ccm koti lililochoka halitufai tena uwizi kila kona utasema hamna uongozi...
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Apigwa baada ya kukutwa anawasiliana na mwanaume mwigine

    Ndio madem wa sasa unatakiwa muwazoee vijana wengi huwezo wa tendo la ndoa ni mdogo so she wanatafuta msaada zaidi
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kashfa za Mkurugenzi Muhimbili

    Ccm nayo inalazimisha uongozi badala yakupambana na kero unapambana na Ukawa ngoja tuone..
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kashfa za Mkurugenzi Muhimbili

    Jamani kweli naamini mawaziri mizigo hata malalamiko hawasikii!! Do Tanzania ni zaidi unvyoijua
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    Hawa nao walewale mnarudi kulekule kwenye mateso Chadema mpango mzima Silaa...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Chenge azomewa (Mwakibuga, Bariadi)

    Alidhani ni zamani ccm kwishney bado wengine huwezi ongoza watoto na wajukuu ss wajukuu wamegoma
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wapenzi na marafiki wa Zitto - kesho tena mahakamani

    zzk sio chadema tena mnakuja na nguo zipi labda chama kingine c chadema bado umri wake mdogo aanze upya alidhani kashinda kumbe kachemsha unakimbilia mahakamani kuna nini??
  15. D

    JamiiForums Tanzania Asante Zitto: Sasa tutaipata Chadema tuitakayo kwaajili ya 2015!!

    ndio maana slikuwa na kiburi kuwa na kiburi kwa maendeleo ndani ya nyumba si kuwa msaliti Mungu hapendi hii ccm ina nini??? angalia umeme,maji,shule n megine mengi tu
Back
Top Bottom