CHADEMA waanikwa!

CHADEMA waanikwa!

Hapo hakuna Kipya! yote ni yale yale, tulishayasikia yote hayo.

Halafu sijui nia yenu ni nn?

CHADEMA ni imani kama huna imani bye bye.
Bora kuwa na team ndogo yenye nidhamu kuliko kuwa na team kubwa mzigo.

hamuwezi kuzuia mafuriko kwa mikono.

Team ndogo yenye #nidhamu !! haaaaaaya bhaaanaaa!!

Tukiwa #bondeni (south) au #dubai ,nidhamu tunaiacha #BONGO .

Kazaneni vijana wenye nidhamu!!!!!!
 

Attachments

  • 1413587088907.jpg
    1413587088907.jpg
    33.2 KB · Views: 220
Jamaaa anakimbilia mgawo wa Escrow kabla haujaisha. Njaa mbaya sana, kama mtu ni mpinzani wa kweli hawezi rudi CCM kwa uhalifu na uporaji wanaoufanya kwa Watanzania. Hapa haitaji degree kujua huyu jamaa alikuwa mganga njaa. Sasa anatoa porojo zilezile zilizozoeleka.
 
Jamaaa anakimbilia mgawo wa Escrow kabla haujaisha. Njaa mbaya sana, kama mtu ni mpinzani wa kweli hawezi rudi CCM kwa uhalifu na uporaji wanaoufanya kwa Watanzania. Hapa haitaji degree kujua huyu jamaa alikuwa mganga njaa. Sasa anatoa porojo zilezile zilizozoeleka.

Muuluze Lema na Msigwa hivi,hela za Escrow walizopewa na #Maswi kuwashambulia kina zito ilikuwaje???

Tundu Lissu naye alikula. Alozikataa ni #SUGU peke yake. Kama huamini,waulize kwa nini hawalizungumzii suala la #Escrow wao kama kambi ua upinzani??

Tena walichukua kwa maandishi,kiapo na Video camera zikachukuliwa. Ten Milions per each.

Halafu wewe unazungumzia Escrow.

JIONGEZE!
 
Tunajua imetumwa tu upunguzi nguvu ya Chadema unababaika mara ukawa mara chadema mara ruzuku we tulia ccm usijitese bure
 
Kweli chadema/UKAWA imeyashika magamba pabaya dah
 
Hayo yanafanywa na wanachama wa upinzani ndani ya vyama vyao tu. Huo ujinga hauwezi ukafanywa na mwanaccm dhidi ya ccm kwa nini? Tatizo la vyama vya upinzani hapa tanzania, ni kwamba vimekosa wanachama wenye nidhamu na chama chao na hata viongozi wa chama. Huu ni udhaifu mkubwa kwa wapinzani.
 
#Invisible ,jibu au toa hoja kuwa,threads hizo ni zauongo na kwa sababu zipi.

Usiwatetee wezi wa chadema.Nahapo hawajakabidhiwa Dola sasa ndo maana wanavurugana kwa tu'senti hutwo. wakipewa dola cndoitakuwa mshikemshike??

Bado upinzani unakazi na miaka mingi kuaminika kwa Watanzania.

kwani nchi hii si INA CAG tumechoka kusikiliza hawa wanaojiita wahasibu kutoka vyuo vya amazon college.
 
Sasa chadema yaanikwa vipi?mbona haya mambo ni yaleyale tu,ni propaganda za kitoto na ni mfu.kama umeamua kuhama chama. Hama tu,ni haki kikatiba,wala huzuiliwi,huyu Hana Tofauti na wengine wote waliokwisha hama ambao pamoja propaganda zao hakuna walichopata hadi leo.hata huyu beans huko ccm aendako watamtumia kwasasa kisha watamtupa kama wengine walivyokwisha kutupwa
 
Soma contents ktk picha hizo.

mbona kama vile umeandika mwenyewe, uka print, ukapiga picha, ukaweka hapa jf. Maana matumizi mengine iliyoainisha hayana figures, halafu document yenyewe haina mwelekeo wala lengo. unajua kweli ku prep document ya ukaguzi wa fedha kweli wewe "muhasibu"?
 
Hadithi njoo uongo,njoo utamu kolea.asante kwa utunzi
 
Habari uliyoileta hapa siyo mpya. Kwa mtazamo wako ulivyofinyu unadhani Wanajf wanaojitambua wataungana na wewe kwenye upuuzi wako. Waambie wanaokutumia kama mpira wa Condom wajipange na wakupange wewe mwenyewe.
 
Wewe ulieleta huu uzi hapa lazima utakua Lusinde tu, tushakuzoea kutukana watanzania hadharani.
 
#Invisible ,jibu au toa hoja kuwa,threads hizo ni zauongo na kwa sababu zipi.

Usiwatetee wezi wa chadema.Nahapo hawajakabidhiwa Dola sasa ndo maana wanavurugana kwa tu'senti hutwo. wakipewa dola cndoitakuwa mshikemshike??

Bado upinzani unakazi na miaka mingi kuaminika kwa Watanzania.
Chadema mburula kweli ujue hayajitambui kabisa sijui nani kayaroga kwenye hii dunia.
 
I don't see this thread be alive for next few hours/days!
 
Back
Top Bottom