Recent content by Diva

  1. D

    JamiiForums Tanzania CV ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara inatisha

    Mifuko ya pensheni ina sura mbili: sura ya watu wengi wanaochangia wanaoingia na kutoka kwa kustaafu (demographic dynamics aspect) na sura ya pesa nyingi (financial investment aspect). Pia kuna sura ya kisheria na kisiasa ktk kuendesha pensheni ambazo ni muhimu kuzifahamu vzr sana. Inahitaji...
  2. D

    JamiiForums Tanzania CV ya Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Prof. Godius Kahyarara inatisha

    Wote hawapo tena sio Muhongo wala Kahyarara. Tatizo walilonalo wasomi wetu ni kiburi cha kukataa kujifunza wakidhani wanajua kila kitu. Acha yawakute
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania naomba mnisaidie kujua tabia za wanaume wa kigoma(waha)

    Usiombe kukutana na mwanaume wa kigoma kitandani wana nguvu za ajabu... ila hawana mapenzi ya kweli nje ya chumba
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana Kwa serikali yetu dhidi ya Sheria ya mpya ya mafao

    Naomba nitofautiane kdg ingawa nafahamu tabia za watu wenye mawazo mafupi watanishambulia kwa kutokubaliana nao. Haya yasemwayo ni majungu. Tutafute hoja nyingine ya kuibana serikali lkn hii haina mashiko. Imeundwa kiubinafsi zaidi. Kwanza inaongelea maslahi ya uzeeni ya walimu peke yao why...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

    hahahahahahah....makuchu mna maneno hata mademu hawafui dafu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Anti Bilali: Huu Ushoga wangu nilirogwa, mwenye dawa anisaidie

    Utakesha bidada
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ndevu kwa Wanaume: Kuota (nyingi) au kutokuota, nini tatizo? Nini kifanyike?

    nenda hsptl wakakupe vidonge vya kupunguza hormone za kiume. unazo nyingi kuzidi kiwango ndio mana. zikipungua zitaota tartiiibu
  8. D

    JamiiForums Tanzania 'Tanzania ina vilema vitatu'

    Mi nakubaliana na hivi vilema vitatu kweli tunavyo hapa Tanzania. Pia nahisi vinahusiana na jambo linalofanana. Nalo ni kuporomoka kwa uchumi. Nasema hivi kwa sababu kadhaa. Nitahusianisha chache hapa: 1. Kuongezeka kwa "Kukaa kinyumba" kunatokana na wanaume wengi kuwa na uchumi dhaifu. Kwa vile...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini watumishi wa serikali hawaendi kugombea ubunge kupitia upinzani?

    Hii mada naomba nichangie. Mi naona ni kuwa wengi wao wanasiasa wa TZ hawana wanachoamini (conviction) wala hawana falsafa. Wanagombea kwa maslahi binafsi tu, hawana cha kutimiza zaidi kuangalia vp watapata chakula chao. Wanalipa fadhila kwa kuonekana kwenye misiba, kutoa rambirambi hela nyingi...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Natoa ushauri wakati wa sensa ukifika

    Naomba nichangie. Nashukuru kwa kuposti hii mada. Ilivyo ni kuwa, watu wengi si wapenzi wa mambo ya namba, au hawaelewi madhara yake kwa kutoa namba bila umakini. Uzoefu unaonyesha huwezi kabisa kuwategemea viongozi wa ngazi inayotajwa au yoyote kufanya kazi hii. Ni kazi ngumu sana ndio maana...
  11. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyaje huyu dada

    Sikubaliani na AINE: Hasa sehemu hii ya kutaka kujua "Anakaa wapi, ndugu zake nani, marafiki zake nani.." Naona havihusu chochote. Kama unataka kumfahamu huyu dada spend nae muda utamfahamu tu bila kumhukumu kwa sababu ya ndugu zake, marafiki zake, anakoishi nk. Hayo ni mambo ya kizamani AINE...
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimfanyaje huyu dada

    Ki ukweli wadada wako hivyo. Hawasemi watakalo wanajichekesha tu. Pia, wengine ukimuonyesha meno tu ukimsifia kapendeza anakuja wanguwangu. Kiufupi, wadada ndio wapendao zaidi mahusiano. Yamenikuta hayo; kisa nilimsifia mara 2-3 kwa nia njema bac yeye mwenyewe kanialika kaniachia kila kitu...
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuchangia harusi kukomeshwe

    Yani mmenigusa. Nimekuwa naumiza kichwa siku zote nini nifanye ili kulazimisha watu waache huu uchangiaji wa kula na kunywa kwa masaa matatu shs laki moja za zaidi kwa kichwa kimoja. Nikienda Kempinski pia siwezi kutumia kiasi hicho cha pesa. Afadhali basi ingekuwa tunakula na kushiba, lakini...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

    Omarilyas will always be Omarilyas... he will always so (or too) self confident even when he should not be. It could prove to be useful in some ways but I mean come on.. defending Ridhwani or Benno Malissa as COMPETENT? puleeez!
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

    Wow, i like this... esp the last para, politics is a dirty game, and if CCM wanna play that game but Tanzanians don't wanna join them, then we don't have to join them... Simply Tanzanians should shove em aside. The fact that CCM remain on despite, is a bit of a proof that Tanzanians are not...
Back
Top Bottom