Ridhiwan Kikwete: Mimi si fisadi

In my humble opinion, there is nothing wrong to have family dynasties in whatever line they are involved in, be it politics, business, entertainment or anything else. The criteria should be the ability of the individual to perform just as well if not better. Of course with a powerful parent one is already a step ahead of the bunch.

The Makambas and Kikwetes are no different from the Kennedys, Bushes or in entertainment world, the Douglases, the Jacksons etc etc. I don't agree with the premise that just because one has a parent high up in the system, then he should be denied the opportunity to pursue the same line as his parent/s. His education, qualifications and ability should be part of the criteria to be considered. And if he is capable, then so be it.

What pisses me off however, is seeing inept, bumbling, uneducated likes of Amani Karume becoming president of Z'bar despite having clearly lost the early nomination process, but was rammed through Zanzibaris' throats nonetheless!

Politics is politics, it has been and will always be such a dirty game! So if the Makambas and Kikwetes are merely trying to perpetuate the ineptitude machinations of the corrupt CCM, then the Tanzanian people should be smart enough to see them for who they really are. If however it's the other way round, then Hail to The Caeser.....
 
Kaka naweza nikakuambia kitu kimoja tu. Namjua Ridhwan kama Ridhwan na sio tu kama mtoto wa Rais tu kama nimjuavyo Zitto kama Zitto na sio Mbunge maarufu Tanzania pekee. Kuhusu January namjua muda mrefu zaidi kuliko hao wote. Na wote hao naamini kuwa wana vigezo vya kutosha kuwa viongozi kwa ngazi walizopo na wanapoelekea kushinda hata wengi wetu hapa wenye kuijua Tanzania magazetini na our personal prejudices. There is no way ukaniambia kuwa mtu kama January eti anamtegemea baba yake tu. Mtafute, kaa naye na engage him katika majadiliano halafu ndio ukimbilie kutoa judgement yako. Vilevile fanya hivyo kwa Ridhwan.

omarilyas

Kujua siyo sawa na kuamini. Kama unazo objective reasons za kuwa hao uliowataja wana "vigezo vya kutosha kuwa viongozi kwa ngazi walizopo" (ambavyo labda ni nadra kuwa navyo mtu ambaye baba yake siyo Rais, Katibu Mkuu wa CCM au Rais Mstaafu), basi tutajie hivyo vigezo kimoja hadi kingine.
 
Kaka naweza nikakuambia kitu kimoja tu. Namjua Ridhwan kama Ridhwan na sio tu kama mtoto wa Rais tu kama nimjuavyo Zitto kama Zitto na sio Mbunge maarufu Tanzania pekee. Kuhusu January namjua muda mrefu zaidi kuliko hao wote. Na wote hao naamini kuwa wana vigezo vya kutosha kuwa viongozi kwa ngazi walizopo na wanapoelekea kushinda hata wengi wetu hapa wenye kuijua Tanzania magazetini na our personal prejudices. There is no way ukaniambia kuwa mtu kama January eti anamtegemea baba yake tu. Mtafute, kaa naye na engage him katika majadiliano halafu ndio ukimbilie kutoa judgement yako. Vilevile fanya hivyo kwa Ridhwan.

Kwa kweli nashangaa sana kumuona mtu kama Mbwambo na Ezekiel Kimwaga wanaingia katika uandishi wa aina hii. Angekuwa saidi Kubenea ningeelewa lakini not waandishi makini kama hawa wawili. Nakubali kuwa namjua Mbwambo katika maandishi yake lakini Ezekiel Kimwaga namjua zaidi na kuthamini uwezo na nidhamu yake katika fani yake. Ushwauri wangu ni kama mwanzo. Watafuteni hawa vijana na mjitahidi kuwajua wao na sio katika kioo cha wazazi wao tu....

Maoni yangu hayana uhusiano kabisa na suala la Masauni ambaye nimonana naye mara moja tu na for the first impression I reserve my comments hadi hapo nitakapojua zaidi kuhusu suala lake.

omarilyas
Kwahiyo bwana Omar unataka kutuambia hawa vijana ni viongozi wazuri katika kusikiliza mahojiano yao?Nani kakwambia mtu anaweza kuwa kiongozi bora kwa sababu ya mahojiano yake!! Nilifikiri una mifano hai ya kuthibitisha hawa jamaa ni viongozi bora. Kumbe unawatetea kwasababu unajadiliana nao na maongezi yenu yamekufanya uamini ni viongozi makini.

Duuh, huu usomi wa Tanzania nao!!! Ndio maana wasanii wengi wako kwenye siasa maana wanaweza kuhojiana na watu vizuri kweli, ingawa utendaji ni sifuri.
 
Sawa sawa Mkuu.

Thanks for correction.

Ila labda cha msingi Mwandishi Mbwambo ajue kuwa kuwa hata vitabu vya maandiko vinatufundisha wale wenye nacho ndio wataongezewa. Watu wote maarufu tuwasomao katika Biblia walitoka katika vizazi vyenye majina, Uzao wa Ibrahim ndio ule wa akina Elia, Essau na Yakobo, Mfalme Suleiman, Mfalme Daud, Yoseph Baba Mlezi na baadae YESU wa Nazaret ...

Ni wachache sana wanaohangaika kwa nafsin zao na kufanikiwa. Hata katika utawala wa Nchi tajiri duniani ndio maana unakuta wafalme wakifa kofia inakwenda kwa watoto wao (Uingereza ni moja ya Taifa kubwa la kuwashiwa taa kwa haya).

Kwetu labda watoto wa Nyerere tu ndio wameonekana hawabebeki na Nkaa apa hakuwa na watoto wakubwa wa kuzaa yeye mwenyewe kabla ya kustaafu. Lakini mshaona yale ya akina Lupiyana, na sasa mnaona hata kizazi hicho hicho ndo kinapana fursa (juzi tu Mzee kamteua mtoto wa Malecela kuwa Jaji wa Mahakama Kuu).

Waweza kuona hata Nyerere alikuwa ni mtoto wa Chifu Burito wa Wazanaki (hakuwa kapuku kama tunavyofikiri)akina Joseph Sinde ni Kizazi hicho hicho cha wakulu, , akina Karume , Kawawa, Nnauye, Mwinyi, Kikwete na wengineo nao wanafuata hizo njia. Ukifuatilia kwa kina sana kwenye mfumo mzima wa uongozi na utawala iwe Serikalini, katika Siasa au kwenye Sekta binafis utaona hakuna mtu yupo katika nafasi nyeti pasipo kutumika kwa ufagio nyuma yake wa kumfikisha hapo alipo !.

Hey hey Fella,

Ningekuwa wewe nisingelinganisha uteuzi wa dada Mwendwa kuwa jaji na ule wa akina Ridhwani kuleta cheap politics zao wasizozijua.

Sababu nasema hivyo ni kuwa dada Mwendwa namheshimu sana. Ni laywer mzuri tena wa siku nyingi. Amepewa hiyo nafasi kwa uwezo wake kuliko upendeleo. Amepewa tena kwenye fani aliyokuwa anaitumikia pale wizarani miaka kibao. Ni dada anayeheshimu watu na asiependa kujikweza kama hao akina Ridhwani.

Nikiacha hiyo; Ridhwani na Beno Malisa nawafahamu kwa vile nilikuwa nao UDSM. Hawana uwezo wala mvuto, hivyo nashawishika kuamini wanabebwa. Siasa kwa bahati mbaya haihitaji kuisomea (sijui kama ni tanzania tu au kote) kwa hiyo wanaweza wazazi wao au wao wenyewe wakajidai wanaiweza kwa utashi tu. Pengine ni kweli, lakini wapi huko nyuma wameonyesha huo utashi kabla ya leo kuikimbilia kwa sababu ya njaa?

Ridhwani na Beno walikuwa na cheap politics za kutaka umaarufu wa kijinga pale Mlimani. Watu makini waliwadharau sana. Beno akiitwa doormat ya Ridhwani, ndio mana na yeye kashikwa mkono na Ridhwani. Darasani walikuwa watupu kabisa, lakini Ridhwani akapewa pande IMMMA (Laurent Masha ni partner)-- hii siiongelei sana leo. Ridhwani hawezi kufanya maamuzi makini na wala hawezi kujenga hoja makini. Uthibitisho unaweza kufanywa kwa kuweka midahalo ya vijana tuchuane vichwa ajulikane nani anaweza kuongoza nchi hii, na si hizo siasa zao za fitina na UVCCM wanazoendeleza. Wale waliowahi kukaa meza moja na Ridhwani wanaweza kutoa ushuhuda. Binafsi huwa namuona hayuko serious, hajua asemalo wala atendalo. Hupenda kuongea sana lkn pumba tu. Huyo si kiongozi ambae vijana wanahitaji (ndani na nje ya CCM). Benno is worse!

Msingi wa nepotism nchi nyingi zaa Afrika ni umaskini na fursa haba. Viongozi wameshindwa kutengeneza mazingira ya ushindani huru (fair competition) kwa wananchi wake. Wameshindwa kufanya meritocracy itawale, badala yake wanang'ang'ania hizi nafasi chache (za kila nyanja) wapate watoto wao na wake zao. Naamini kuna ukweli katika hili. Siamini kama ni jambo jema. Nadhani ni hatari. Inaweza kuletea yale ya Kennedys na Gandhis. I hope they know what they are doing is not that different from the just above named and consequences thereof.

Nikirudi kwa hoja ya mtoto wa Warren Buffet na wanaofanana nae huko ughaibuni. Naamini kweli kuwa hata kama baba yake hatamsimamia, bado atapita kirahisi kiasi kwa chochote atachofanya, labda avae mask na abadili jina lake. Angalau anaonyesha nia ya kufanya kitu tofauti. Na nadhani ni ukweli ni kuwa wenzetu wamejitahidi kujenga mazingira ya fairness hasa kwenye public offices, na hii inajionyesha kwenye varieties in their choices na development paths za individuals. Sisi bado. Pia, wanapenda kujivunia kazi kuliko kujivunia utajiri. Nadhani katika hierrachy ya mahitaji ya bin'adam, kwetu huku tunatumikia njaa na sio self-actualization na hii ni bahati mbaya.

Mwisho naashukuru kuleta hoja hii bw Mbwambo

Alichofanyiwa Masauni ni dalili tu ya ugonjwa uliopo ndani ya UVCCM, CCM, Serikali na jamii nzima ya watz. Inahitajika mabadiliko makubwa ya kifikra.
 
Lakini nyie wote mnao-critisize nadhani wote mpo jahazi moja tu na hao. Ni kwamba hamjapata fursa au chaneli walizonazo.

Ukisharuhusu na kukubaliana na siasa, ukaifungulia mlango ni shurti iingie ndani na wapambe wake, na mpambe mkuu ni UBINAFSI. Ubinafsi ndio unaowafanya watu watake ku-compete hata kama hakuna ulazima, kujirahishia njia ya ushindi kwa kuondoa ushindani (ambao siusapoti vilevile) na mambo mengine kadha wa kadha. So it it is either yes or no hakuna kitu cha katikati hapo.
 
In my humble opinion, there is nothing wrong to have family dynasties in whatever line they are involved in, be it politics, business, entertainment or anything else. The criteria should be the ability of the individual to perform just as well if not better. Of course with a powerful parent one is already a step ahead of the bunch.

The Makambas and Kikwetes are no different from the Kennedys, Bushes or in entertainment world, the Douglases, the Jacksons etc etc. I don't agree with the premise that just because one has a parent high up in the system, then he should be denied the opportunity to pursue the same line as his parent/s. His education, qualifications and ability should be part of the criteria to be considered. And if he is capable, then so be it.

What pisses me off however, is seeing inept, bumbling, uneducated likes of Amani Karume becoming president of Z'bar despite having clearly lost the early nomination process, but was rammed through Zanzibaris' throats nonetheless!

Politics is politics, it has been and will always be such a dirty game! So if the Makambas and Kikwetes are merely trying to perpetuate the ineptitude machinations of the corrupt CCM, then the Tanzanian people should be smart enough to see them for who they really are. If however it's the other way round, then Hail to The Caeser.....

Wow, i like this... esp the last para, politics is a dirty game, and if CCM wanna play that game but Tanzanians don't wanna join them, then we don't have to join them... Simply Tanzanians should shove em aside.

The fact that CCM remain on despite, is a bit of a proof that Tanzanians are not ready to quit play the game, and hence the Hail to the Caeser!
 
Mmmhh, hivi mara nyingine watu hufikiri kila mtu ni *****? NItatoa majina ya Bush na Family, Thatchers na Family, Kennedy na family and even Mtei na family.....

Na mimi nitakuonesha njisi wote walivyo hangaika wenyewe binasfi na kufanikiwa. Mfano Goerge W Bush alikwenda kama mara mbili tu ikulu wakati George W.H Bush akiwa Raisi
 
I think most of you have failed to understand the writer and it is probably because of his writing style. Now people are using the words of the writer against himself. The words are the same but everybody is getting a different message. Sadly most of the comments I have seen here has been a battle of camps rather than context.

The writer does make a good point in that the child should follow his/her own path and not simply go the direction the father went. He did not say the son should not follow in the footsteps of the father......NO! He says that the son should follow his dreams. If the dream of the father is the dream of the son it is all when and good but we can't deny the fact that their are parents who force their children to go a certain way all in the name of "for the good of the family". But I'm surprised some of you are assuming that every son of a politician who goes into politics does it because it is what they have always wanted.

The writer also emphasizes one important factor always overlooked. TALENT! One does not necessarily inherit the talents of the father. Even if the father was a skilled and talented politician does not automatically guarantee the son will be the same. That is why we have seen some children who follow in their father's footsteps fail miserably thinking what came naturally to their parents will come naturally to them to.

People in here have also given examples of the Kennedy and Bush family. Now here again I repeat there is no problem for a child to follow in the footsteps of the father....the problem is going into a field where one lacks the talents and the skills. Point in case is George W. Bush. He left office with the lowest approval rating of any president, one that was only rivaled by Richard Nixon. We so the son follow into the footsteps of the father and enter into office trying to rebuild the father's legacy and accomplished the father's "unfinished businesses".

So yes my fellow JF members I agree with all of you who say that a person should not be overlooked simply because they have a father in high office. The son could also be good in what he does, I can't argue there. BUT I also agree with him that a son should do something because it's what the love. A son of a politician shouldn't enter politics simply because he feels he has a sense of obligation to the "family business". We want skilled and talented skill makers be it a son of a "mkulima" or a son of a political dynasty but we don't want politicians who are simply there because of their family names. After all a father can only take a son thus far until he has to venture on his own and succeed due to merit.
 
Na mimi nitakuonesha njisi wote walivyo hangaika wenyewe binasfi na kufanikiwa. Mfano Goerge W Bush alikwenda kama mara mbili tu ikulu wakati George W.H Bush akiwa Raisi

Kwa hiyo kwenda ikulu mara mbili tu ndiyo ina maanisha he didn't get help from daddy? Don't make me laugh mkuu. I have read Bush's history and ever since he was young daddy has been pulling strings for him. His daddy due to his contacts helped his son get managing position in oil companies in Texas and whether it's a coincidence or not all the companies George Bush headed failed. And there are other instances where daddy kept saving his butt but I thought the oil company example best illustrates my case. There are people who make it mostly on their own(nobody can make it on their own completely) but George Bush is the wrong example.
 
Kaka naweza nikakuambia kitu kimoja tu. Namjua Ridhwan kama Ridhwan na sio tu kama mtoto wa Rais tu kama nimjuavyo Zitto kama Zitto na sio Mbunge maarufu Tanzania pekee. Kuhusu January namjua muda mrefu zaidi kuliko hao wote. Na wote hao naamini kuwa wana vigezo vya kutosha kuwa viongozi kwa ngazi walizopo na wanapoelekea kushinda hata wengi wetu hapa wenye kuijua Tanzania magazetini na our personal prejudices. There is no way ukaniambia kuwa mtu kama January eti anamtegemea baba yake tu. Mtafute, kaa naye na engage him katika majadiliano halafu ndio ukimbilie kutoa judgement yako. Vilevile fanya hivyo kwa Ridhwan.

Kwa kweli nashangaa sana kumuona mtu kama Mbwambo na Ezekiel Kimwaga wanaingia katika uandishi wa aina hii. Angekuwa saidi Kubenea ningeelewa lakini not waandishi makini kama hawa wawili. Nakubali kuwa namjua Mbwambo katika maandishi yake lakini Ezekiel Kimwaga namjua zaidi na kuthamini uwezo na nidhamu yake katika fani yake.
Ushwauri wangu ni kama mwanzo. Watafuteni hawa vijana na mjitahidi kuwajua wao na sio katika kioo cha wazazi wao tu....

Maoni yangu hayana uhusiano kabisa na suala la Masauni ambaye nimonana naye mara moja tu na for the first impression I reserve my comments hadi hapo nitakapojua zaidi
kuhusu suala lake

omarilyas

Omari kweli nimekubali akili za kuambiwa changanya na za kwako.....kumbe tunaweza kumwona mtu mmoja lakini kila mtu akawa anamwelewa tofauti. Nilijua unamjua Ridhiwani ndio maana nilikukomalia.....sasa nimejua kuwa kuandika jina lako live kuna mgongano wa maslahi kwenye baaadhi ya hoja. Nakushauri badili jina ili uweze kuondoa mgongano huo
Mix with yours
 
Nadhani ni vizuri tukaachana na hii mijadala ya watu na kuongelea masuala kama vile kuhukumu uwezo wa mtu kwa vigezo vya jina lake la mwisho tu na pia suala la watoto wa wakubwa kufuata nyayo za wazazi wao.

Kuhusu hukumu ya walio wengi kuwa uwezo wa Ridhwan na January wapo walipo kutokana na nafasi za wazazi wao tu mimi napenda kupingana nayo kwa kuwa naamini kuwa wote hawa mbali na nafasi ya wazazi wao lakini pia wana uwezo wao binafsi ambao ndio ningelipenda wengi wetu tujaribu kuutambua kabla ya kutoa hukumu ya jumla iliyoelemea katika majina yao ya mwisho. Lakini pia wakati mnaamini kuwa hawa wamefaidika zaidi na nafasi za wazazi wao kuliko uwezo wao na hata kufikia kuwakejeli kuwaona hawana kitu ni vizuri pia kutambua kuwa yawezekana suala hilohilo la nafasi ya wazazi linaweza kuwa ndio sababu kuu ya kuwa biased dhidi yao. Ukweli ni kuwa majina ya wazazi pia huwa mzigo kwao kwani wengi wetu tunashindwa kuwahukumu kwa ubinafsi wao. Hivyo ndio maana nikasititiza haswa kwa ndugu Mbwambo na hata Ezekiel Kimwaga ambao naamini kuwa ni waandishi makini kufanya juhudi za kuwajua wenzetu hawa wawili kwa ubinafsi wao pia zaidi ya majina yao ya mwisho.

Kuhusu suala la watoto wakubwa na urithi wa nafasi za kisiasa, mimi naita domestication of power. Naamini kuwa ingawa wapo ambao wanaingia katika siasa katika muono wa kulinda nafasi na maslahi ya familia zao lakini pia wapo pia ambao ama kutokana na malezi ya wazazi wao ama wao wenyewe wakashawishika kujihusisha na siasa na hata kutaka "kufanikiwa" kama wazazi wao. Na hii ni phenomenon ya kawaida kabisa. Tofauti iliyopo hapa nchini ni kuwa tupo katika kizazi cha pili a cha tatu cha kisiasa hivyo suala hili ni geni kwetu na ndio maana wangi wetu tunaona sia la kawaida na hata kuamini kuwa ni haramu. Wakati fulani hata mimi nilikuwa na wasiwasi kama ambavyo wengi wetu hapa wanao kuhusiana na suala hili. Ndugu yangu mmoa akaniuliza swali moja gumu sana. Akasema kama baba yako alikuwa ni mwalimu na akaithamini kazi yake hudhani kuwa naye angependa kuona angalao mwanaye mmoja anafanya kazi kama yake? Je wewe (mimi) usingependa kuona mwanao mmoja anakuwa mwanasiasa kama unavyopenda wewe? Ukweli ni kuwa mimi nimepitiliza kiasi hata kutaka hata mwenzawangu wa maisha basi awe anapenda siasa....kwani naamini ni fani muhimu na thamani kubwa. Mwenzenu siamini kuwa siasa ni mchezo mchafu isipokuwa ni fani adhimu iliyofakamiwa na kutawaliwa na watu wachafu.....

Niwajuavyo Ridhwan na January ni kuwa they are just political animals just like me na naamini kuwa siasa ni ndoto yao kama ilivyo mimi.....

omarilyas
 
Omari kweli nimekubali akili za kuambiwa changanya na za kwako.....kumbe tunaweza kumwona mtu mmoja lakini kila mtu akawa anamwelewa tofauti. Nilijua unamjua Ridhiwani ndio maana nilikukomalia.....sasa nimejua kuwa kuandika jina lako live kuna mgongano wa maslahi kwenye baaadhi ya hoja. Nakushauri badili jina ili uweze kuondoa mgongano huo
Mix with yours

Kaka ushauri wako nimeuona lakini sikubaliani nao. Inapofika mahala nikaona mgongano huwa nanyamaza kimya lakini sio kutumia majina bandia....That is dishonesty ambayo ni sawa na hao tunaowalalamikia kutufikisha tulipo...
 
Majina bandia=dishonesty= hao tunaowalalamikia kutufikisha hapo !!!!?

Oooh dear!

Mix with yours
 
Namheshimu sana Ndugu Mbwambo. Hivyo napenda kumpa zoezi moja. Ajitahidi kuwajua kina Ridhwan na January Makamba kama wao na sio watoto wa "wakubwa" halafu ndio atoe judgment yake. Pia kuhusu suala la Hussein Mwinyi na elimu yake ya udaktari, napenda kuuliza kuwa ni wanasiasa ama viongozi gani na wangapi wamesomea sayansi ya siasa ama utawala? Hivi hakuna wahandisi ambao ni mawaziri tena wa wizara tofauti na elimu zao? Hivi kaka Mbwambo katika maisha yake yote amefanya kazi ile tu inayoendana na elimu ama fani aliyosomea tu? Lakini pia yeye kama mwandishi asingependa kuona mwanawe mmojawapo anakuwa muandishi na akapata mafanikio kama yeye? Lakini pia anaposema kuwa wazungu hawapendi kubebwa anaamini hivyo ama ni njia ya kurembesha maandiko yake? Hivi kweli mfano wa mtoto wa Buffet ambaye baba yake anajulikana duniani kote kuwa ni tajiri asiye na makuu ndio uwe mfano wa wazungu wote?

Ni hayo tu...

Omarilyas

Maelezo mengine yanasikitisha kwamba yanatolewa na mtu anayefikiri bila msaada wa mwingine.

Acheni kupotosha maana ya mwandishi kwa kunyofoa mistari na kuivalia njuga.

Mwandishi ana maana nzuri sana, bila kujali walioandikwa ni Januari au Ridhiwan.

Inasikitisha mtu kujaribu kuonyesha uwezo wa vijana hawa bila kuelewa maandishi yaliyo mbele yetu. Unaweka mifano ya akina Bush nk. Kinachokataliwa hapa ni ’kubebwa’ Au kuwinda kubebwa kwa kufahamu fika kwamba jina la baba au mjomba litawasitua wapiga kura. Hii ndo imetawala kwa vijana hawa.

Kweli unavyowafahamu, bila hayo majina ya baba zao, hivyo vichwa vina uwezo wa kuteka nyara mawazo yako na ya wengine kiasi hicho mpaka wachaguliwe?

Haya mambo tulishayazungumza JF na hasa baada ya Salma Kikwete kujitosa ktk siasa. Swali letu lilikuwa ni kwa nini sasa? Miaka yote anapiga chaki primary, mara akiona mumewe ni Rais ndo anagundua uwezo wake ktk siasa! Hii imekuwa ni syndrome ya kuuwa Taifa.

Sasa hivi Viongozi wote wa kisiasa tulio nao wnalazimisha watoto wao waingie ktk siasa. Hawataki ajira za serikali. Wanawekwa ukuu wa Wilaya, wajumbe wa vyama vya siasa, nk. Tena hii ni baada ya kuwa wamepata elimu ya profession zao, including huyo mtoto wa Mwinyi ambaye aliwekwa kwenye uwaziri, fresh from school! Hata hajui matatizo ya hospitali za Tanzania.

Mtoto anaweza kuiga kazi ya baba na akafanikiwa, lakini hakuna urithi wa vipaji vya aina hii. Kama ni physical job ni rahisi kupima uwezo wake, lakini hizi siasa za mbayuwayu hakuna kipimo. Utakuta sasa Vijana kama hawa wamegeuka kuwa watu wenye busara na huenda wameteka ushujaa wa mawazo kiasi kwamba hakuna rafiki yao yeyote anayewabishia.

Mtu unasifia uwezo wa Januari. Ni huyo huyo tunayesikia akiandika hotuba za mbayuwayu? Unawezaje kumpa credits kiasi hicho kuliko anavyoweza kujieleza. Au nawe sasa kakunyang’anya busara kwa kuwa ni mtoto wa Makamba. OK! I hope hakurithi kwa baba.
 
Huyo omarilyas "anajiamini" kwa hayo anayosema by virtue of his capacity as Salim Ahmed Salim's Personal Assistant. Kwa hiyo, anataka watu wote wawe na imani naye sababu anafahamiana na watoto wa vigogo kutokana na wadhifa wake huo.

Ameshindwa kabisa kuorodhesha "vigezo tosha" anavyodai hao aliowataja wanavyo kuonyesha kweli wanastahili nafasi za uongozi.
 
Omari kweli nimekubali akili za kuambiwa changanya na za kwako.....kumbe tunaweza kumwona mtu mmoja lakini kila mtu akawa anamwelewa tofauti. Nilijua unamjua Ridhiwani ndio maana nilikukomalia.....sasa nimejua kuwa kuandika jina lako live kuna mgongano wa maslahi kwenye baaadhi ya hoja. Nakushauri badili jina ili uweze kuondoa mgongano huo
Mix with yours

Nahisi kwamba kuandika majina halisi siyo ushujaa bali ni kuwinda hiyo nepotism ikuone kwa wema nawe ujulikane kwa 'uliniteteta bwana'
 
Huyo omarilyas "anajiamini" kwa hayo anayosema by virtue of his capacity as Salim Ahmed Salim's Personal Assistant. Kwa hiyo, anataka watu wote wawe na imani naye sababu anafahamiana na watoto wa vigogo kutokana na wadhifa wake huo.

Ameshindwa kabisa kuorodhesha "vigezo tosha" anavyodai hao aliowataja wanavyo kuonyesha kweli wanastahili nafasi za uongozi.

Kama ni hivyo basi tutafika baada ya karne nyingi.

YES! hiyo inatokana na ugonjwa tulionao ambao unaifanya akili yetu iamini kwamba ukisha kuwa Rais hakuna mwingine ajuwaye kuliko wewe ktk Taifa. Ukiwa Mkuu wa Wilaya hivyo hivyo, ukiwa mkuu wa idara hivyo hivyo, nk.

Kama na huyu ni hvyo basi ni tatizo maana huo ndo mwisho wa kujifunza.
 
credibility ya mtu kuwa kiongozi wa kisiasa/kitaifa bado haijaeleweka nchini mwetu......anybody can become somebody anywhere,inasikitisha sana...
 
Kaka naweza nikakuambia kitu kimoja tu. Namjua Ridhwan kama Ridhwan na sio tu kama mtoto wa Rais tu kama nimjuavyo Zitto kama Zitto na sio Mbunge maarufu Tanzania pekee. Kuhusu January namjua muda mrefu zaidi kuliko hao wote. Na wote hao naamini kuwa wana vigezo vya kutosha kuwa viongozi kwa ngazi walizopo na wanapoelekea kushinda hata wengi wetu hapa wenye kuijua Tanzania magazetini na our personal prejudices. There is no way ukaniambia kuwa mtu kama January eti anamtegemea baba yake tu. Mtafute, kaa naye na engage him katika majadiliano halafu ndio ukimbilie kutoa judgement yako. Vilevile fanya hivyo kwa Ridhwan.

Kwa kweli nashangaa sana kumuona mtu kama Mbwambo na Ezekiel Kimwaga wanaingia katika uandishi wa aina hii. Angekuwa saidi Kubenea ningeelewa lakini not waandishi makini kama hawa wawili. Nakubali kuwa namjua Mbwambo katika maandishi yake lakini Ezekiel Kimwaga namjua zaidi na kuthamini uwezo na nidhamu yake katika fani yake. Ushwauri wangu ni kama mwanzo. Watafuteni hawa vijana na mjitahidi kuwajua wao na sio katika kioo cha wazazi wao tu....

Maoni yangu hayana uhusiano kabisa na suala la Masauni ambaye nimonana naye mara moja tu na for the first impression I reserve my comments hadi hapo nitakapojua zaidi kuhusu suala lake.

omarilyas

Hukua na mfano mwingine?
 
Back
Top Bottom