Recent content by Ditex

  1. Ditex

    Kampuni ya Mtandaoni ya LBL inayojihusisha na matangazo ya biashara siyo Utapeli?

    Habari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada. Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu Leo burnett London (LBL) wanakupa task mbalimbali ikiwemo hii ambayo unatakiwa kutazama movie na...
  2. Ditex

    Nitaupata wapi mzani mkubwa used wa kupimia nafaka?

    Wadau nitaupata wapi mzani mkubwa used wa kupimia nafaka let say kg 200 kwa pamoja
  3. Ditex

    Naomba ufafanuzi kuhusu Mafao ya Uzazi

    Naomba kuuliza, je hii mifuko ya kijamii e.g NSSF fao la uzazi wakikupa , fedha wanakuwa wameipunguza kwenye michango yako, au wanakupa free kwa sababu michango yako inawazalishia riba.
  4. Ditex

    TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

    Uwe na akiba ya maneno
  5. Ditex

    NMB makato ya uwakala

    Wakuu naombeni mnisaidie mambo mawili 1. Makato mapya ya uwakala nataka nifahamu, maana nilitoa pesa 1,700,000 wamekata 11,500. 2. Pia naomba nijue kupata taarifa fupi za mwezi za miamala za akaunt yangu , kwenye app wananipa za muda mfupi tu
  6. Ditex

    Husband is needed

    Mpendwa wangu, mimi sifa zote ninazo ila moja tu ndio sina. Mimi ni bonge ila ni bonge mwepesi, na nimekuwa mnono baada ya kupata vijipesa
  7. Ditex

    Kibali cha ujenzi kina gharama zipi na process zipi ?

    Ramani ni mchoro wangu mwenyewe
  8. Ditex

    Kibali cha ujenzi kina gharama zipi na process zipi ?

    Kiwanja kimepimwa ni offer
  9. Ditex

    Kibali cha ujenzi kina gharama zipi na process zipi ?

    Habari wakuu Nipo Iringa mjini, nina kiwanja ndani ya halimashauri, kwa wazoefu eti kibali cha ujenzi kina gharama zipi na process zipi nifuate ili niwe nacho. Na je kinapatikana baada ya muda gani?
  10. Ditex

    Mashindano ya drafti kitaifa, Chunya Mbeya

    Zipo ila nguvu yao sasa ni ndogo, kuna madogo wanameza kopi nzima nzima
  11. Ditex

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wydad na Simba odds ngapi? Nataka nibet single game, nampa wydad natia mzigo wa maana, potelea mbali
Back
Top Bottom