NMB makato ya uwakala

Ditex

JF-Expert Member
May 19, 2018
277
868
Wakuu naombeni mnisaidie mambo mawili

1. Makato mapya ya uwakala nataka nifahamu, maana nilitoa pesa 1,700,000 wamekata 11,500.

2. Pia naomba nijue kupata taarifa fupi za mwezi za miamala za akaunt yangu , kwenye app wananipa za muda mfupi tu
 
Kwenye App nenda sehemu wameandika TAARIFA KAMILI then clip hapo, utaandika tarehe za miamala unayotaka then mzigo unakuja chap tu.
 
NMB ndio Benki inaongoza kuwa na makato makubwa kuliko zote hasa kama unatoa zaidi kwa mawakala nashauri tumia ATM kama unatoa pesa
 
Back
Top Bottom