Recent content by diso

  1. diso

    JamiiForums Tanzania TANZIA Daktari Bake wa Burere afariki dunia

    Pole kwa wafiwa Kawatibu ndugu zangu watatu na leo wapo vizuri kabisa kweli alikuwa Daktari mzuri sana na alikuwa na uwezo.
  2. diso

    JamiiForums Tanzania Tahadhari ya utapeli kuunganishwa dstv au Bein

    Je umetapeliwaje elezea angalau ilikuwaje uclan
  3. diso

    JamiiForums Tanzania Ndugu Valentino Mlowola, DG PCCB tafadhali anza na hili, kwa haraka!

    Jina hili asili yake uhayani hilo sio Nkurunzinza
  4. diso

    JamiiForums Tanzania Ndugu Valentino Mlowola, DG PCCB tafadhali anza na hili, kwa haraka!

    Mbona inasemekana huyu mama yupo fair kabisa hata watumishi wanamkubali.
  5. diso

    JamiiForums Tanzania Web Development Special Class

    Somo zuri
  6. diso

    JamiiForums Tanzania NHIF call for Interview

    Walipo niacha hoi ni pale waliposhindwa hata kuchapisha maswali tulisomewa kama imla vile yani kwa taasisi kubwa kama ile mpaka leo hii sijawapatia jibu sahihi duh
  7. diso

    JamiiForums Tanzania Top Ten Best Paying Banks in Terms of Salary by 2013 in Tanzania

    Alafu yule ambae alikuwa ajipindi kiivyo leo ndio ana shavu la kufa mtu hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo....:israel:
  8. diso

    JamiiForums Tanzania HUAWEI ascend Y300 unlock Application

    Mambo vipi wana Jamii Forum?naomba kuuliza je kuna Application ambayo inaweza ku unlock huawei ascend y300 na ikawa inaweza kutumia line za mitandao tofauti badala ya kutumia line moja?naomba kuwasilisha.
  9. diso

    JamiiForums Tanzania Msaada,Sumsung Galaxy S3 inagoma Internet Connection.

    Hii nayo point muhimu.
  10. diso

    JamiiForums Tanzania Msaada,Sumsung Galaxy S3 inagoma Internet Connection.

    Kama unatumia line ya vodacom nenda kwenye SETTINGS, WIRELESS&NETWORKS-MOBILE NETWORKS, chagua. Access Point Name, sehemu ya Name andika vodacom na kwenye APN andika internet baada ya hapo save
  11. diso

    JamiiForums Tanzania Ntasoma chuo gani hapa?

    Hata mimi nakushauri usome certificate kwa matokeo hayo unapata.
  12. diso

    JamiiForums Tanzania Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

    Gud story
  13. diso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naanza vizuri lakini sinaga mwisho mzuri

    Kweli kabisa atulizane tu...
  14. diso

    JamiiForums Tanzania Naomba la level ngazi za mishahara

    Asante kwa maelezo mazuri nimepata uelewa sasa.
Back
Top Bottom