Napenda kuwatahadharisha watanzania wote popte walipo.
kuna tangazo kupatana linalodai kuunganishwa na dstv na Bein kwa kutumia ving'amuzi vya zuku, azam, continental. Bei ni shs 40,000 tu. Usidhubutu. Binafsi nimeliwa. Tahadhari hii ni kwako lisije kukuta.
namba yake ni 0658644118. Anasomeka kwa John Haule