Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

Habari yenu wana jamvi kumekuwa na tatizo la wa2 kutazama video nzuri youtube na kushindwa jinsi ya kudownload kutokana 2 na cm zao kutosapot youtube downloader apps. Sasa twende pamoja ha2a kwa hatua.

1.lazima uwe na operamini angalau kuanzia v5 na kuendelea,na uc browser angalau kuanzia v7

2.fungua browser yako nenda sehemu imeandikwa "enter addrec andika" www.youtube.com

3.nenda kwenye searchbox andika jina la video unayoiihitaji kisha bonyeza SEARCH....utaona list ya results bonya video unayohitaj

4.ikifunguka usiibonyeze wala kubonyeza neno WATCH THIS VIDEO...Cha kufanya tembeza kasa(kimshale) yako mpaka juu upande wa kushoto pale ulipoingiza addrec mwanzo......................................inaendelea hapa chini
 
Habari yenu wana jamvi kumekuwa na tatizo la wa2 kutazama video nzuri youtube na kushindwa jinsi ya kudownload kutokana 2 na cm zao kutosapot youtube downloader apps........sasa twende pamoja ha2a kwa hatua

2.fungua browser yako nenda sehemu imeandikwa "enter addrec andika" YouTube
3.nenda kwenye searchbox andika jina la video unayoiihitaji kisha bonyeza SEARCH....utaona list ya results bonya video unayohitaj
4.ikifunguka usiibonyeze wala kubonyeza neno WATCH THIS VIDEO...Cha kufanya tembeza kasa(kimshale) yako mpaka juu upande wa kushoto pale ulipoingiza addrec mwanzo......................................inaendelea hapa chini

.

Go straight to the point! Like an IT man ! Huandiki story za kwenye magazeti ndugu!
Itaendelea itaendeleaje sasa?
Aghhhhh
 
Habari yenu wana jamvi kumekuwa na tatizo la wa2 kutazama video nzuri youtube na kushindwa jinsi ya kudownload kutokana 2 na cm zao kutosapot youtube downloader apps........sasa twende pamoja ha2a kwa hatua
1.lazima uwe na operamini angalau kuanzia v5 na kuendelea,na uc browser angalau kuanzia v7
2.fungua browser yako nenda sehemu imeandikwa "enter addrec andika" www.youtube.com
3.nenda kwenye searchbox andika jina la video unayoiihitaji kisha bonyeza SEARCH....utaona list ya results bonya video unayohitaj
4.ikifunguka usiibonyeze wala kubonyeza neno WATCH THIS VIDEO...Cha kufanya tembeza kasa(kimshale) yako mpaka juu upande wa kushoto pale ulipoingiza addrec mwanzo......................................inaendelea hapa chini
leo umesahau kumeza dawa, usijisikie vibaya ugonjwa wa akili unaweza kumpata yoyote yule hatutaki kuonyesha unyanyapaa ndio maana tunakoment ktk post yako:)
 
Habari yenu wana jamvi kumekuwa na tatizo la wa2 kutazama video nzuri youtube na kushindwa jinsi ya kudownload kutokana 2 na cm zao kutosapot youtube downloader apps........sasa twende pamoja ha2a kwa hatua
1.lazima uwe na operamini angalau kuanzia v5 na kuendelea,na uc browser angalau kuanzia v7
2.fungua browser yako nenda sehemu imeandikwa "enter addrec andika" www.youtube.com
3.nenda kwenye searchbox andika jina la video unayoiihitaji kisha bonyeza SEARCH....utaona list ya results bonya video unayohitaj
4.ikifunguka usiibonyeze wala kubonyeza neno WATCH THIS VIDEO...Cha kufanya tembeza kasa(kimshale) yako mpaka juu upande wa kushoto pale ulipoingiza addrec mwanzo......................................inaendelea hapa chini

ukiclick eneo hilo utaona link ndeeefu inayo anza na m.youtube,,,,,chakufanya futa neno herufi m na nukta inayofata kwa mbele yake...ukishamaliza andika ss...kwa hiyo link itaanzia hivi ssyoutube...............kisha bonyeza ok....kuna page itafunguka........bonyeza download......ikifunguka chagua fomati unayoitaka inategemea na cm yako kama ni mp4 au 3gp....usichague mp4 kama simu yako haina uwezo wa kuplay mp4......ukimaliza download 2 kama kawaida.....samahani kwa kutoendlea pale juu nilipata udhuru kidogo hivo sikuwa na muda wa kuwa jamvini
 
simu yangu nokia 300 lakin nikitaka kudownload kama ulivosema inagoma, inaleta invalid address, plz help me
 
ukiclick eneo hilo utaona link ndeeefu inayo anza na m.youtube,,,,,chakufanya futa neno herufi m na nukta inayofata kwa mbele yake...ukishamaliza andika ss...kwa hiyo link itaanzia hivi ssyoutube...............kisha bonyeza ok....kuna page itafunguka........bonyeza download......ikifunguka chagua fomati unayoitaka inategemea na cm yako kama ni mp4 au 3gp....usichague mp4 kama simu yako haina uwezo wa kuplay mp4......ukimaliza download 2 kama kawaida.....samahani kwa kutoendlea pale juu nilipata udhuru kidogo hivo sikuwa na muda wa kuwa jamvini

Mimi nimekuelewa, Asante kwa msaada wako, imefanya kazi vizuri njia yako.
 
Back
Top Bottom