Recent content by DISGUISE16

  1. D

    Namtafuta baba yangu na ukoo wake

    Kweli! Lkn sometime madingj hao hao ukitoboa wanakuibukia na kudai yy ni mzazi wako na mifano ipo mingi tu
  2. D

    Nikiwa jikoni nasikia jina tu

    Niliiona kitambo ktk gazeti la The African
  3. D

    Umejifunza nini kutoka kwenye Uchaguzi wa Marekani?

    Kutajwa tajwa na kupambwa na media si ushindi! Nimejifunza kuwekeza kwa wapiga kura si wapiga debe na vuvuzela
  4. D

    Kitovu kumuangukia mtoto wa kiume ni kweli anakuwa hana nguvu za kiume?

    Nafikiri labda lugha sahihi hapa si uhanithi huu tunaoufikiri bali ni kuwa 'impotent' kuto disa. Hizi myth tuliwakuta nazo wazee wetu! Haidhuru kama unaziamini au huziamini zenyewe huwa zina take effect tu. Na si hiyo moja tu niliambiwa na bibi yangu kuwa kitovu kikiangukia kwa mtoto wa kike...
  5. D

    Rais Magufuli afuta safari ya UN General Assembly

    Alijisemea Mugabe huko UN speeches zao hazithaminiwi
  6. D

    Siri nzito ya Zombe na Bageni

    Oh! Ni chanel ndefu ya kihalifu. I think he is the source of all this! Aunganishwe na yy ktk kesi kwa kweli kwa kuwafisha wenzie
  7. D

    MALEZI: Nilichokiona kwenye gari la shule la watoto wetu

    Mleta bandiko unataka ugomvi na bi hellen kidjo bisimba! Hujui kuwa humanrights zao kujifanyia watakavyo?
  8. D

    Siri nzito ya Zombe na Bageni

    Hivi naweza kueleweshwa how kina Zombe came to know kuwa hao wafanyabiashara wana pesa nyingi cash?
  9. D

    Siri nzito ya Zombe na Bageni

    Pamoja na kuachiwa huru, Zombe nafsi yake itamsuta sana. Na hatokua na furaha
  10. D

    Dr. Ramadhani Dau aapishwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malaysia

    Ni kawaida host country kuchelewa ku approve jina la new foreign envoy! Si jambo geni ni normal procedure na wala haifanyiki on purpose! Ni mwingiliano tu wa ratiba! Msihusishe hili jambo na uhusiano na dini/malaysia
  11. D

    Upimaji wa virusi vya UKIMWI nyumba kwa nyumba kuanza Oktoba

    Don't panic! It is just 5minutes task! Just nyoosha mkono tu unatobolewa kiduchu tu haiumi hata
  12. D

    Nimeota ndoto moja na wife. Je, hii inaashiria nini?

    Hizi shughuli zilikuaga za Pasco, somehow Mshana Jr ame take over
  13. D

    Mfanyabiashara Ataka Kujirusha Daraja la Ubungo

    Sasa ujuzi na vifaa ni issue ingine! I think they should recruit qualified staff eg divers etc
  14. D

    Mfanyabiashara Ataka Kujirusha Daraja la Ubungo

    Huitwa kikosi cha zimamoto na uokozi! Si lazima uwe moto hata mtu akizama kikosi hiki huja kuokoa
Back
Top Bottom