Tatizo ume coment kishabiki sana ..wee ujui kitu ni bora ukauliza kuliko kuja na mambo ya pepoNilichogundua hii familia Ina pepo la utengano. Huyo alijetokeza Kama anamjua huyu dogo nae anashangaa kwanini hawawasiliani kwa miaka 13.... Funny enough mnakuja kutajana majina yenu halisi humu ukutani. Wachaga wakikutana kila mwezi wa 12 mnawatukana, ni mpaka watoto wenu watakapopeana mimba ndo mtajua umuhimu wa family reunion.
My word:
Wewe uliyejitokeza hapa Kama unamjua huyu mleta mada na wengine, fanyeni grand family reunion moja tu itawasaidia. Acheni upuuzi. Hata huyo mnaemtafuta anaweza asiwe msaada Kama nyie wenyewe hamna umoja. Gadem.
Secelela (Sechelela) na sio SeselelaMwambie ainzie kwa saselela kongole wa TBC1 wenda akawa ndugu yake. Pole zake bora wakwangu alikufa.
Nipe mawasiliano yako bc
Kweli! Lkn sometime madingj hao hao ukitoboa wanakuibukia na kudai yy ni mzazi wako na mifano ipo mingi tumadingi co watu wa kuwatafuta kama humjui piga kimya unaweza kukutana nae aka kukataa kinoma noma afu ukaumia zaidi
Tukisema hutumii akili tutakua tunakosea ? Dogo kasema Mara ya mwisho mama alikua Mbeya.Mara ya mwisho mama yako aliishi wapi
Asant mkuuBaba asiye mtafuta mtoto, amepoteza sifa ya ubaba. Kumtafuta mtu asiye na sifa unayomtafutia ni kupoteza muda. Maisha bila baba yanawezekana. Tumia muda wako kufanya ya maana.
Achana naye yy ndo haoni umuhimuAsant mkuu
Mkuu kuna wengine wanaweza ku fanya ngono ya siku moja, wakaachana na mama akashika ujauzito na hata asiweze kum-trace ni nani kampa ujauzito.Baba asiye mtafuta mtoto, amepoteza sifa ya ubaba. Kumtafuta mtu asiye na sifa unayomtafutia ni kupoteza muda. Maisha bila baba yanawezekana. Tumia muda wako kufanya ya maana.
Mkuu kuna wengine wanaweza ku fanya ngono ya siku moja, wakaachana na mama akashika ujauzito na hata asiweze kum-trace ni nani kampa ujauzito.
Mkuu lakini kuna situation nyingine ambazo baba anaweza asiwe na makosa, hasa mwanamke anapokuwa anatembea na wanaume wengi kwa wakati mmoja. Kuna dada mmoja alikuwa ''mwingi'' akapata ujauzito akashindwa kujua kwa hakika ni nani alimpa ujauzito. Akaamua kufa na mwanamme mmoja (ambaye nadhani alimchagua kwa sababu alikuwa na fedha kuliko wale wengine). Mtoto alipokuwa ikajajulikana sio wa yule mwanamme aliyesakiziwa. Na kuwapata tena wale wengine ilikuwa shida kwani siku zilishaenda. Matukio kama haya ni common sana kwenye ngono za chap chap!Huyo ni baba kweli? Nway, kila mmoja na anavyoguswa. Binafsi, ni heri niitwe sina baba kuliko baba wa aina hii hata akipatikana. Kwa umri wa mpaka unaandika Jf, inafaa kuhangaika kufa na kupona kwaajili yako na wale atakaokupa Mungu.