Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,755
- 50,830
Huitwa kikosi cha zimamoto na uokozi! Si lazima uwe moto hata mtu akizama kikosi hiki huja kuokoa
Sawa kabisa, Lakini ndiyo hao walishindwa kumtoa mtoto aliyefia kwenye dimbwi la maji pale karibu na Mlimani City,